Hili poti nilijua ni wanajeshi wa Jwtz peke yao.
Jina la poti lilianzia kwa polisi ndio likasambaa na kwa majeshi mengine, wanajeshi wa jwtz ni wajeda, majina mengine ni njagu, mwera, ndata nk ikiwa na maana ya askari wa jeshi lolote lile
Naomba kujuzwa
Hivi kwa mwenye fani(ex.engineer)ikitokea achague kati ya kwenda Jwtz/jeshi la polisi,which is better kwake?
Kama una fani yoyote ile siyo tu engineer basi jwtz ndio pazuri zaidi, ndio jeshi linaloconsider elimu ya mtu kuliko majeshi mengine yote ya bongo, upandaji wa vyeo ni mzuri zaidi kuliko huko kwingine
 
Wadau tumeona jeshi la polisi limetangaza nafasi za ajira sasa wadau kma mm nimeomba sana huwa sipati naombeeni msaada kma mtu anaweza nisaidia nimeomba kma mara mbili nimekosa saada wadau
Omba tena utapata this time..
 
kijana kazi zipo chini ya jeshi la polisi kikubwa fuata maelekezo na uwe na vigezo wanavyotaka ukitaka kupewa kipaumbele utaishia kutapeliwa tu watu wa humu wanaweza kukupa ushauri tu jinsi ya kuomba kazi ila hawana uwezo wa kukupa kazi za jeshi la polisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom