Nawangoja
Mkuu inaonekana leo upo bored sana... Hii thread yako ya saba!!!!!
We ulikuwa unafanya nini hukulala?
Tangazo la nafasi ya kwenda Milani Italy for Holiday mwishono mwa robo ya tatu ya mwaka 2013
Sifa Za Mwombaji
Wahi sasa nafasi ni chache
- Awe mrembo mwenye sura ya kuvutia umbo namba 8, kiasi kwamba akipita mtaani watu wote shingo nyuzi 180 degree.
- Awe na uwezo wa nauli ya kurudia in case akinizingua ajue jisnsi ya kurudi TZ
- .............................
- .............................
Intavyuu ni mwezi March
Terehe TBA
Tuma maombi yako kupitia PM
Nilikuwa sijui kuwa hata wewe katika wa****i umo ya 7 wapi.
Ila hii ni kweli vipi untaka ku apply?
Ya 7 ? Au ya 8? Au mi ndy nimekosea kukaunti ?
Operation ya nini?Ndio nimeamka, ila wewe unaonekana uko bored zaidi yangu, kidogo nimeamka na nguvu nimeota warembo warembo wengi. Jana sikulala nilikua kwenye operation kuanzia saa 6 usiku usiulize ya nini?
Operation ya nini?
Nimesema nisiulizwe, umeamka salama? Kama kawaida yenu mida ya ah! Nimesahau kua ulikua kanisani, ebu njoo uku PM
Mida ya ah ndo mida gani. Siwez kuja faragha pm na wewe...ni hatariNimesema nisiulizwe, umeamka salama? Kama kawaida yenu mida ya ah! Nimesahau kua ulikua kanisani, ebu njoo uku PM
Usiulize kwanini..
sababu utanizingua..