Ajira

Ajira

Joined
Oct 21, 2026
Posts
1
Reaction score
4
🆕TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA

SPINA BIFIDA HOPE AND HEALING INTERNATIONAL (SBHHI)

Kwa kushirikiana na:
  • Open Spine Hope Foundation Tanzania (OSHOFT)
  • Straight Spine Foundation International
  • Open Spine Hope International (OSHI)

WANATANGAZA NAFASI 60 ZA KAZI YA KUHUDUMIA KIKAO

CHE0: CONFERENCE / SESSION ATTENDANT

1. MAELEZO YA KIKAO:

Kikao cha Kimataifa cha Elimu, Uhamasishaji na Matibabu ya Watoto Waliozaliwa Mgongo Wazi (Spina Bifida)

Eneo la Kikao: Oysterbay Dar es Salaam
Tarehe ya Kuanza: 25/10/2026
Tarehe ya Kumaliza: 25/11/2026
Muda wa Kazi: Saa 2:30 Asubuhi (8:30 AM) hadi Saa 10:30 Jioni (4:30 PM)
Siku za Kazi: Siku 30 mfululizo, Jumapili ni Mapumziko

2. SIFA ZA MWOMBAJI:

a) Jinsia: Kike au Kiume
b) Umri: Miaka 18 hadi 40
c) Elimu: Darasa la Saba na kuendelea (Form IV, Form VI, Diploma, Degree zote zinakubalika)
d) Lugha: Lazima ajue kuongea na kuandika Kiswahili na Kiingereza vizuri - Hii ni lazima
e) Nidhamu na uaminifu wa hali ya juu
f) Uwezo wa kufanya kazi kwa kujituma na chini ya shinikizo
g) Uwezo wa kufanya kazi kwa muda mrefu ukiwa umesimama
h) Muonekano nadhifu na usafi wa mwili
i) Awe na simu ya mkononi inayopatikana
j) Mkazi wa Dar es Salaam atapewa kipaumbele
k) Uzoefu wa kuhudumia mikutano ni nyongeza lakini sio lazima

3. MAJUKUMU YA KAZI:

i. Kupokea na kuelekeza wageni na washiriki wa kikao
ii. Kuhakikisha ukumbi wa kikao uko safi na umepangiliwa vizuri kila siku
iii. Kugawa vifaa vya kikao kama maji, karatasi, kalamu kwa washiriki
iv. Kusaidia wawezeshaji wa kikao na wahudumu wa hotelini
v. Kuhakikisha vifaa vya sauti na macho (projector) vinafanya kazi
vi. Kuongoza washiriki kwenye sehemu za chakula na choo
vii. Kutoa taarifa kwa uongozi kama kuna changamoto yoyote
viii. Kazi nyingine yoyote utakayopangiwa na Mratibu wa Kikao

4. MASLAHI NA MALIPO:

a) Malipo: TZS 60,000/= kwa siku
b) Ulipo: Malipo yatafanyika kila siku baada ya kuahirisha kikao (4:30 PM)
c) Chakula: Chakula cha mchana kitatolewa BURE na taasisi
d) Cheti: Utapata Cheti cha Ushiriki baada ya kumaliza siku 30.

5. JINSI YA KUOMBA:

Tuma ujumbe wako kwa WhatsApp kwa namba hizi:
0705 358 537 / 0685 974 732

Kwa mfumo ufuatao tu, usipige simu:
JINA LAKO KAMILI:
UMRI WAKO:
UNAKOPATIKANA (Mtaa na Wilaya):
ELIMU YAKO:
UZOEFU KAMA UPO:
LUGHA UNAZOJUA:
Mfano:
JINA LAKO KAMILI: Neema John Mwakyoma
UMRI WAKO: 24
UNAKOPATIKANA: Sinza, Kinondoni
ELIMU YAKO: Form IV
LUGHA: Kiswahili na Kiingereza vizuri

MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI: 23/10/2026 Saa 12:00 Jioni

KUMBUKA:
  • Kama unahitaji nafasi hii itakupasa kulipia Ada ya usajili, Agent fee ili usajiliwe moja kwa moja kwa kuanza kazi tarehe husika,Agent fee 10,000/=
  • Usitume CV, tuma taarifa kwa mfumo tajwa tu
  • Watakaosajiliwa wataitwa kwenye usaili mfupi kwa ajili ya kupewa maelekezo ya kazi pamoja na kugawiwa vitendea kazi tarehe 24/10/2026 Oysterbay
  • Nafasi ni chache, wahi mapema

Imetolewa na:
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu
SBHHI / OSHOFT
Zabloni Richard Mwakanyamale.
 
Tapeli
 
Duuuh hili tangazo lako la kazi hatari mnooo...Mwisho wa maombi 23/10/2026.. kazi inaanzia 25/10/2026... maana yake huo usaili utakuwa 24/10/2026 then siku inayofuata unaanza kazi
 
Kasongo yeyeeee, mobali na ngai...

Watu wanapigwa elfu kumi zao
 
Mi nataka kutuma hela kwanza ili nimuwahie nafasi....hizo Cv ntatuma baadae,namba ya hela na jina linatoka nani ndugu mkuu wa taasisi
 
Back
Top Bottom