Tangazo Kuitwa Usaili Jeshi La Polisi 2025

Tangazo Kuitwa Usaili Jeshi La Polisi 2025

Wakuu, hii taarifa inayosambaa kuanzia jana tarehe 22 Aprili 2025 kuhusu kutangazwa kwa majina ya waliochaguliwa kwaajili ya usaili wa jeshi la polisi, ina uhakika wowote?
 
naomba kujua kuna kuitwa tena kwa ambao hawajaitwa kweny jeshi la polisi au kuna kutuma maombi tena mara ya pili au hakuna vyote
 
Halafu anatokea mpuuzi mmoja anakuambia Samia hafai,,
Ebu tuonyesheni magufuli alitoa ajira yoyote nyie mnaemponda mama wa watu? Watz hawana shukurani kabisa kabisa
Polisi waliajiri
 
Hivi kama ujarupoti kuanzia iyo tarehe ya kwanzaa unaenda unaenda asaiv kabla hawajamaliza usaili
 
Back
Top Bottom