Unajipendekeza tu, Zanzibar wote hawataki muungano isipokuwa wananufaika pekee yaani viongozi...raia hawataki muungano.hatushambuliani lakini tunaambiana ukweli tu. Baadhi yenu nyinyi munaojifanya watanganyika kwa saana kumbe ni watoto wa wahamiaji tu, na hasa wale walioko mipakani. Wao ndiyo wanajiona sana kuliko Wazanzibari ambao mumekomaa kuwasema ati wanajifanya waarabu.
najipendekeza kwa maslahi ya nani?Unajipendekeza tu, Zanzibar wote hawataki muungano isipokuwa wananufaika pekee yaani viongozi...raia hawataki muungano.
Sasa heshimu maoni ya kila mtu, nchi hii ni wetu wote wanaopinga muungano na wanaotakanajipendekeza kwa maslahi ya nani?
Hapo usishangae ukaitwa mbaguzi wa wazanzbari!ukweli ni kwamba hii ccm inawadanganya watanganyika. Aina hii ya Muungano haifai kabisa kuwepo, Muungano ambao raia wa upande mmoja tu ndieye anaruhusiwa kumiliki ardhi upande mmoja wa Muungano, SI hivyo tu, raia wa upande huo ndiye anaruhuasiwa kugombea uongozi ngazi yeyote ,huku raia wa upande ule haruhusiwi hata kugombea ushea hiki ni kiini macho! Rais wa nchi nyingine anamuakilisha Rais wa upande mwingini kwenye mikutano ya kimataifa ,hapo utasikia huo ni wivu! Watanzania wa Tanganyika tunatakiwa kuukataa Muungano huu uchwara, njoo nafasi za ajira upande wenye idadi ya watu wachache wanapewa nafasi nyingi kama ule upande mwingine.hovyo kabisaTujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu
Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na Tanzania Bara wakati wenzetu wa Zanzibar walivyoona jina "Tanzania visiwani" linaua Zanzibar wamesusa siku hizi ni "Zanzibar au Tanzania Zanzibar"
Tangayika yetu sasa imemezwa na Tanzania, wenzetu wana uraia mara mbili yaani wanajiita wazanzibar na Watanzania kwa nini sisi hatuitwi Watanganyika, kwa nini Tanganyika yetu inakufa, historia yetu ya Utanganyika inakufa tunacheka
Tunataka tusiitwe Tanzania Bara bali Tanzania Tanganyika ,mbona Wazanzibar walishakataa kuitwa Tanzania visiwani na sasa wanaitwa Tanzania Zanzibar
Ongeza mambo mengine yanayoua Tanganyika huku Zanzibar ikiinuliwa
kwanini umepata hofu lakini, mbona wanaopinga wako wengi tu na wala siyo issue kabisa.Sasa heshimu maoni ya kila mtu, nchi hii ni wetu wote wanaopinga muungano na wanaotaka
Aisee mnatuchosha! Nchi yetu inaitwa Tanzania. Msidhani mkitengana kuna lolote bora litakalotokea. Wake up guys!
Mmeshindwa kupinga rushwa, ufisaidi, ukosefu wa uwajibikaji serikalini, utawala bora, mnakimbilia kuuvunja muungano? Shame on you!
kati ya kipindi wazenji waliwahi kukataliwa au niseme kuchokwa bara, ni hiki. ajabu yake, wamejenga bara sana na sijui wataondokaje siku kikinuka. umebaki uzi mdogo sana.Tujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu
Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na Tanzania Bara wakati wenzetu wa Zanzibar walivyoona jina "Tanzania visiwani" linaua Zanzibar wamesusa siku hizi ni "Zanzibar au Tanzania Zanzibar"
Tangayika yetu sasa imemezwa na Tanzania, wenzetu wana uraia mara mbili yaani wanajiita wazanzibar na Watanzania kwa nini sisi hatuitwi Watanganyika, kwa nini Tanganyika yetu inakufa, historia yetu ya Utanganyika inakufa tunacheka
Tunataka tusiitwe Tanzania Bara bali Tanzania Tanganyika ,mbona Wazanzibar walishakataa kuitwa Tanzania visiwani na sasa wanaitwa Tanzania Zanzibar
Ongeza mambo mengine yanayoua Tanganyika huku Zanzibar ikiinuliwa
Tujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu
Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na Tanzania Bara wakati wenzetu wa Zanzibar walivyoona jina "Tanzania visiwani" linaua Zanzibar wamesusa siku hizi ni "Zanzibar au Tanzania Zanzibar"
Tangayika yetu sasa imemezwa na Tanzania, wenzetu wana uraia mara mbili yaani wanajiita wazanzibar na Watanzania kwa nini sisi hatuitwi Watanganyika, kwa nini Tanganyika yetu inakufa, historia yetu ya Utanganyika inakufa tunacheka
Tunataka tusiitwe Tanzania Bara bali Tanzania Tanganyika ,mbona Wazanzibar walishakataa kuitwa Tanzania visiwani na sasa wanaitwa Tanzania Zanzibar
Ongeza mambo mengine yanayoua Tanganyika huku Zanzibar ikiinuliwa
kati ya kipindi wazenji waliwahi kukataliwa au niseme kuchokwa bara, ni hiki. ajabu yake, wamejenga bara sana na sijui wataondokaje siku kikinuka. umebaki uzi mdogo sana.
Rudi kuzimu shetaniWazanzibari hawajakataa kuitwa Tanzania visiwani kwani ukiita hivyo Visiwa vyote hivi vinakuwa ni mali ya Zanzibar
Wanaokataa ni hao wanaoitwa Tanzania bara
Orodha ya visiwa vya Tanzania - Wikipedia, kamusi elezo huru
Mimi nashindwa kuelewa kilichopo nyuma ya hizi kampeni za utanganyikaTujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu
Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na Tanzania Bara wakati wenzetu wa Zanzibar walivyoona jina "Tanzania visiwani" linaua Zanzibar wamesusa siku hizi ni "Zanzibar au Tanzania Zanzibar"
Tangayika yetu sasa imemezwa na Tanzania, wenzetu wana uraia mara mbili yaani wanajiita wazanzibar na Watanzania kwa nini sisi hatuitwi Watanganyika, kwa nini Tanganyika yetu inakufa, historia yetu ya Utanganyika inakufa tunacheka
Tunataka tusiitwe Tanzania Bara bali Tanzania Tanganyika ,mbona Wazanzibar walishakataa kuitwa Tanzania visiwani na sasa wanaitwa Tanzania Zanzibar
Ongeza mambo mengine yanayoua Tanganyika huku Zanzibar ikiinuliwa
Rudi kuzimu shetani
Nahisi shetani nyieMbona tuko kuzimu tayari au huoni haya maisha tuliyonayo hapa Tz mlo wa siku kama shetani ?π
Tukutane barabarani sasa maana huku tumeshakutana sanaAisee mnatuchosha! Nchi yetu inaitwa Tanzania. Msidhani mkitengana kuna lolote bora litakalotokea. Wake up guys!
Mmeshindwa kupinga rushwa, ufisaidi, ukosefu wa uwajibikaji serikalini, utawala bora, mnakimbilia kuuvunja muungano? Shame on you!
Aka mimi Mtanganyika safi kabisa