Miaka 60 ya Uhuru tunataka Tanzania Tanganyika

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Haingii akilini kuwa Tanganyika inafifia kwa kutumia Tanzania Bara

Historia ya nchi yetu ni Tanganyika, tangu karne 19 baada ya ukoloni siyo Tanzania Bara

Tunataka jina Tanzania Bara liondolewe kwenye misaafu iandikwe Tanzania Tanganyika kama Zanzibar walivyotupilia mbali Tanzania visiwani wakaanza kutumia Tanzania Zanzibar

Tunataka utanganyika wetu urudishwe kwenye vitabu vya shule na makabrashi ya serikali ,hatutaki Tanzania Bara tunataka Tanzania Tanganyika

Vizazi virithishwe Tanzania Tanganyika siyo Tanzania Bara, wajue original yao

Hii ya kutuita Tanzania Bara,Tanganyika yetu inapotea kimasihara

Historia yetu ,chimbuko letu ni Tanganyika, siyo Tanzania Bara, mbona Wazanzibar hawatumii Tanzania visiwani
 
Tuwe na Tanzania, Tanganyika na Zanzibar.
 
Back
Top Bottom