Tanganyikanism tukutane hapa

Tanganyikanism tukutane hapa

hatushambuliani lakini tunaambiana ukweli tu. Baadhi yenu nyinyi munaojifanya watanganyika kwa saana kumbe ni watoto wa wahamiaji tu, na hasa wale walioko mipakani. Wao ndiyo wanajiona sana kuliko Wazanzibari ambao mumekomaa kuwasema ati wanajifanya waarabu.
Unajipendekeza tu, Zanzibar wote hawataki muungano isipokuwa wananufaika pekee yaani viongozi...raia hawataki muungano.
 
Tujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu

Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na Tanzania Bara wakati wenzetu wa Zanzibar walivyoona jina "Tanzania visiwani" linaua Zanzibar wamesusa siku hizi ni "Zanzibar au Tanzania Zanzibar"

Tangayika yetu sasa imemezwa na Tanzania, wenzetu wana uraia mara mbili yaani wanajiita wazanzibar na Watanzania kwa nini sisi hatuitwi Watanganyika, kwa nini Tanganyika yetu inakufa, historia yetu ya Utanganyika inakufa tunacheka

Tunataka tusiitwe Tanzania Bara bali Tanzania Tanganyika ,mbona Wazanzibar walishakataa kuitwa Tanzania visiwani na sasa wanaitwa Tanzania Zanzibar

Ongeza mambo mengine yanayoua Tanganyika huku Zanzibar ikiinuliwa
Hapo usishangae ukaitwa mbaguzi wa wazanzbari!ukweli ni kwamba hii ccm inawadanganya watanganyika. Aina hii ya Muungano haifai kabisa kuwepo, Muungano ambao raia wa upande mmoja tu ndieye anaruhusiwa kumiliki ardhi upande mmoja wa Muungano, SI hivyo tu, raia wa upande huo ndiye anaruhuasiwa kugombea uongozi ngazi yeyote ,huku raia wa upande ule haruhusiwi hata kugombea ushea hiki ni kiini macho! Rais wa nchi nyingine anamuakilisha Rais wa upande mwingini kwenye mikutano ya kimataifa ,hapo utasikia huo ni wivu! Watanzania wa Tanganyika tunatakiwa kuukataa Muungano huu uchwara, njoo nafasi za ajira upande wenye idadi ya watu wachache wanapewa nafasi nyingi kama ule upande mwingine.hovyo kabisa
 
Aisee mnatuchosha! Nchi yetu inaitwa Tanzania. Msidhani mkitengana kuna lolote bora litakalotokea. Wake up guys!

Mmeshindwa kupinga rushwa, ufisaidi, ukosefu wa uwajibikaji serikalini, utawala bora, mnakimbilia kuuvunja muungano? Shame on you!

Kwa aina hii ya muungamo bora uvunjwe ama iwe serikali moja tu.
 
Tujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu

Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na Tanzania Bara wakati wenzetu wa Zanzibar walivyoona jina "Tanzania visiwani" linaua Zanzibar wamesusa siku hizi ni "Zanzibar au Tanzania Zanzibar"

Tangayika yetu sasa imemezwa na Tanzania, wenzetu wana uraia mara mbili yaani wanajiita wazanzibar na Watanzania kwa nini sisi hatuitwi Watanganyika, kwa nini Tanganyika yetu inakufa, historia yetu ya Utanganyika inakufa tunacheka

Tunataka tusiitwe Tanzania Bara bali Tanzania Tanganyika ,mbona Wazanzibar walishakataa kuitwa Tanzania visiwani na sasa wanaitwa Tanzania Zanzibar

Ongeza mambo mengine yanayoua Tanganyika huku Zanzibar ikiinuliwa
kati ya kipindi wazenji waliwahi kukataliwa au niseme kuchokwa bara, ni hiki. ajabu yake, wamejenga bara sana na sijui wataondokaje siku kikinuka. umebaki uzi mdogo sana.
 
Wazanzibari hawajakataa kuitwa Tanzania visiwani kwani ukiita hivyo Visiwa vyote hivi vinakuwa ni mali ya Zanzibar 😛 😛

Wanaokataa ni hao wanaoitwa Tanzania bara

Orodha ya visiwa vya Tanzania - Wikipedia, kamusi elezo huru
 
kati ya kipindi wazenji waliwahi kukataliwa au niseme kuchokwa bara, ni hiki. ajabu yake, wamejenga bara sana na sijui wataondokaje siku kikinuka. umebaki uzi mdogo sana.

Itakuwa hujafika Zanzibar na kuona watu kutoka Tanganyika na nchi jirani walivyojaa , wengine wanalala kwenye mapaa ya nyumba za Michenzani , huku Mwinyi akiwaweka madarakani vijana kutoka kwao Mkuranga
 
Tujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu

Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na Tanzania Bara wakati wenzetu wa Zanzibar walivyoona jina "Tanzania visiwani" linaua Zanzibar wamesusa siku hizi ni "Zanzibar au Tanzania Zanzibar"

Tangayika yetu sasa imemezwa na Tanzania, wenzetu wana uraia mara mbili yaani wanajiita wazanzibar na Watanzania kwa nini sisi hatuitwi Watanganyika, kwa nini Tanganyika yetu inakufa, historia yetu ya Utanganyika inakufa tunacheka

Tunataka tusiitwe Tanzania Bara bali Tanzania Tanganyika ,mbona Wazanzibar walishakataa kuitwa Tanzania visiwani na sasa wanaitwa Tanzania Zanzibar

Ongeza mambo mengine yanayoua Tanganyika huku Zanzibar ikiinuliwa
Mimi nashindwa kuelewa kilichopo nyuma ya hizi kampeni za utanganyika
 
Aisee mnatuchosha! Nchi yetu inaitwa Tanzania. Msidhani mkitengana kuna lolote bora litakalotokea. Wake up guys!

Mmeshindwa kupinga rushwa, ufisaidi, ukosefu wa uwajibikaji serikalini, utawala bora, mnakimbilia kuuvunja muungano? Shame on you!
Tukutane barabarani sasa maana huku tumeshakutana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom