Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 882
- 1,696
Acha dharau mtoto, ukamuulize babakoTanganyika ni nchi gani hiyo ?
Acha dharau mtoto, ukamuulize babakoTanganyika ni nchi gani hiyo ?
Acha dharau mtoto, ukamuulize babako

Tunazidi kuchanganyana! Mimi nilifikiri Tanzania inapotajwa na Zanzibar inakuwa imejumuishwa. Kumbe kuna nchi ya Tanzania na nchi ya Zanzibar!Zanzibar vs Tanzania kwa nini isiwe Zanzibar vs Tanganyika????View attachment 2702773
Vinginevyo, Tanganyika irejeshewe hadhi yake.Ili twende sawa ni Zanzibar kufutika na kubaki jamhuri ya muungano ya Tz.
Asante kakaKaka wa wa Tanganyika hapa
Naipenda nchi ya Tanganyika!Tuongeze serikali ya Tanganyika juu ya hizi mbili
Maana yake hakuna Tanganyika.Tunazidi kuchanganyana! Mimi nilifikiri Tanzania inapotajwa na Zanzibar inakuwa imejumuishwa. Kumbe kuna nchi ya Tanzania na nchi ya Zanzibar!
Kwa kuwa Tanzania ni nchi na Zanzibar ni nchi, Tanganyika nayo ni nchi.
Kwa hiyo tuna nchi tatu: Tanzania, Tanganyika na Zanzibar.
Kama ndivyo, tujulishwe Tanganyika imepangwa kucheza na nchi ipi kati ya Tanzania na Zanzibar?
Kila binadamu ana wazazi wawili. Kukataa uwepo wa Tanganyika ni sawa na kuikana uwepo wa Tanzania.Maana yake hakuna Tanganyika.
Kama ipo tunadai nini??Kila binadamu ana wazazi wawili. Kukataa uwepo wa Tanganyika ni sawa na kuikana uwepo wa Tanzania.
Tanzania ni mtoto aloyepatikana kutokana na ndoa ya Tanganyika na Zanzibar.
Tanganyika will never die.
UBAGUZI na UKABURUTujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu
Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na Tanzania Bara wakati wenzetu wa Zanzibar walivyoona jina "Tanzania visiwani" linaua Zanzibar wamesusa siku hizi ni "Zanzibar au Tanzania Zanzibar"
Tangayika yetu sasa imemezwa na Tanzania, wenzetu wana uraia mara mbili yaani wanajiita wazanzibar na Watanzania kwa nini sisi hatuitwi Watanganyika, kwa nini Tanganyika yetu inakufa, historia yetu ya Utanganyika inakufa tunacheka
Tunataka tusiitwe Tanzania Bara bali Tanzania Tanganyika ,mbona Wazanzibar walishakataa kuitwa Tanzania visiwani na sasa wanaitwa Tanzania Zanzibar
Ongeza mambo mengine yanayoua Tanganyika huku Zanzibar ikiinuliwa
Inawezekana Kwa Wakati huo na waliokuwa wanausimamia ulikuwa na umuhimu na ulikuwa hai, lakini waloptoweka Muungano nao ulivunjwa na waliofuata kuongoza nchi. Mfano:Tujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu
Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na Tanzania Bara wakati wenzetu wa Zanzibar walivyoona jina "Tanzania visiwani" linaua Zanzibar wamesusa siku hizi ni "Zanzibar au Tanzania Zanzibar"
Tangayika yetu sasa imemezwa na Tanzania, wenzetu wana uraia mara mbili yaani wanajiita wazanzibar na Watanzania kwa nini sisi hatuitwi Watanganyika, kwa nini Tanganyika yetu inakufa, historia yetu ya Utanganyika inakufa tunacheka
Tunataka tusiitwe Tanzania Bara bali Tanzania Tanganyika ,mbona Wazanzibar walishakataa kuitwa Tanzania visiwani na sasa wanaitwa Tanzania Zanzibar
Ongeza mambo mengine yanayoua Tanganyika huku Zanzibar ikiinuliwa
Tunadai haki ya nchi yetu Tanganyika kutambuliwa kama nchi ya Zanzibar inavyotambuliwa.Kama ipo tunadai nini??
Naam, umenena.Inawezekana Kwa Wakati huo na waliokuwa wanausimamia ulikuwa na umuhimu na ulikuwa hai, lakini waloptoweka Muungano nao ulivunjwa na waliofuata kuongoza nchi. Mfano:
Wakati tukiwa wamoja hatukuwa na Zanzibar kama ambavyo Tanganyika haipo. Tulikuwa na Tanzania bara na Tanzania visiwani. Wahuni wakavunja Muungano Kwa kurudisha Zanzibar. Kwa hilo lazima Tanganyika irudi.
Wazanzbari wanaruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika, kuteuliwa kuwa hadi wakuu wa wilaya,wakurugenzi, mawaziri Kwa yasiyo ya Muungano. Wanamiliki vitambulisho hadi vya Tanzania Wakati mtu kutaka Tanganyika haruhusiwi hata kuwa shea, achilia mbali kugombea uongozi huko Zanzibar.
Huu siyo Muungano unaofaa kuwepo Kwa sasa. Turudi mezani ili kuondoka dhuruma Kwa watanganyika.