Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,902
- 11,395
Hayo yote yatajadiliwa wakati wa referendum kuhusu Muungano. Kama kuna maeneo unayoona yanakukwaza katika Muungano basi utakuwa ndio wakati wa kuwashawishi watu wakuunge mkono. Kama pande zote mbili zitakubali kuwa Muungano uwepo, basi hayo masuala yatapaswa yapatiwe ufumbuzi. Kama hayana ufumbuzi ni bora tutengane na kila mmoja achukue hamsini zake.Naomba unijibu yafuatayo;
1. Nitajie eneo la Tanzania?
2. Mambo ya Muungano
3. Kwanini kwenye kodi/ushuru wa forodha Zanzibar mnaitoa nje ya Tanzania?
Civics form wani hiiNaomba unijibu yafuatayo;
1. Nitajie eneo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
2. Nitajie mambo ya Muungano
3. Kwanini kwenye kodi/ushuru wa forodha Zanzibar mnaitoa nje ya Tanzania?
4. Bidhaa yoyote ikiingia Zanzibar hailipiwi TRA? Sasa kama inalipiwa kwanini bidhaa ile ile ikiingia Bara ambalo bado ni eneo laJamhuri ya Muungano wa Tanzania inatakiwa ilipiwe kodi wakati bado ipo kwenye eneo la Muungano?
5. Kwanini bidhaa inayoingia Dar es salaam baada ya kulipiwa kodi hata ikiingia Morogoro hailipiwi kodi kwa vile bado ipo kwenye eneo la Jamhuri ya Muungano?
Rudia kusoma tena nimeongezea! Pia katika huu Muungano kuna mmoja analalamika kuhusu kuubeba mzigo wa gharama za matumizi ya Muungano lakini kwanini hata upande wa pili wakionesha kutaka kujiengua wanalazimishwa?!Hayo yote yatajadiliwa wakati wa referendum kuhusu Muungano. Kama kuna maeneo unayoona yanakukwaza katika Muungano basi utakuwa ndio wakati wa kuwashawishi watu wakuunge mkono. Kama pande zote mbili zitakubali kuwa Muungano uwepo, basi hayo masuala yatapaswa yapatiwe ufumbuzi. Kama hayana ufumbuzi ni bora tutengane na kila mmoja achukue hamsini zake.
Amandla...
Kama ilivyofanyika former Czechoslovakia.a Watu wa vote simply kama wanautaka Muungano au hawautaki. Watanganyika waulizwe na wazanzibari waulizwe. Pasiwe na dhana ya kuwa hamna haja ya kuwauliza watanganyika kwa sababu bila shaka wanautaka. Na watu wafanye kampeni za wazi za pro na against Muungano. Czechoslovakia upande mmoja ulikataa na nchi yao ikawa history.Kuwe na referendum kwenye pande zote mbili kuhusu muungano?
Modalities za hiyo kura zitakuwaje?
Ndio maana nimesema pawe na referendum. Upande utakaotaka kujiengua utasababisha Muungano uvunjike. Mzizi wa fitna kuwa kuna upande mmoja ni king'ang'anizi utakatwa.Rudia kusoma tena nimeongezea! Pia katika huu Muungano kuna mmoja analalamika kuhusu kuubeba mzigo wa gharama za matumizi ya Muungano lakini kwanini hata upande wa pili wakionesha kutaka kujiengua wanalazimishwa?!
Upande mmoja ukiukataa muungano na upande mwingine ukaukubali, hapo inakuwaje?Kama ilivyofanyika former Czechoslovakia.a Watu wa vote simply kama wanautaka Muungano au hawautaki. Watanganyika waulizwe na wazanzibari waulizwe. Pasiwe na dhana ya kuwa hamna haja ya kuwauliza watanganyika kwa sababu bila shaka wanautaka. Na watu wafanye kampeni za wazi za pro na against Muungano. Czechoslovakia upande mmoja ulikataa na nchi yao ikawa history.
Tuulizwe tuu maana maneno yamekuwa mengi
Amandla...
Tujifunze kwa Biden. Kila Rais wa Marekani hakutaka kuonekana kuwa vita ya Afghanistan imemshinda. Biden akasema mimi najitoa.Kila president anayeingia anajitahidi/hataki muungano ufie mikononi mwake
Muungano finito. Inatakiwa pande zote mbili ziukubali. Ndivyo ilivyokuwa Czechoslovakia. Upande mmoja ulikataa, mwingine ulikubali wakagawana nchi. Kuwauliza wazanzibari peke yao kutaacha uwezekano wa hapo mbele kutokea watanganyika ambao watasema walilazimishwa tu.Upande mmoja ukiukataa muungano na upande mwingine ukaukubali, hapo inakuwaje?
Lakini upande ambao utaukubali muungano, endapo muungano utavunjwa kisa upande mmoja umeamua kuukataa, utakuwa umelazimishwa kuuvunja muungano ambao bado unataka uendelee.Muungano finito. Inatakiwa pande zote mbili ziukubali. Ndivyo ilivyokuwa Czechoslovakia. Upande mmoja ulikataa, mwingine ulikubali wakagawana nchi. Kuwauliza wazanzibari peke yao kutaacha uwezekano wa hapo mbele kutokea watanganyika ambao watasema walilazimishwa tu.
Amandla...
Unakimbilia details. Kuna ushuru ambao Zanzibar waliushusha na hivyo kufanya bidhaa zao kuwa na bei ya chini kiasi cha kufanya wakina mama waende wakanunue huko na kuzileta Dar. Wenye viwanda upande wa pili wakalalamika na serikali ya JMT ikaona inapoteza kiasi fulani cha mapato hivyo wakasema ile tofauti ya ushuru ilipwe vitu vinapoingia Tanganyika kutoka Zanzibar.Rudia kusoma tena nimeongezea! Pia katika huu Muungano kuna mmoja analalamika kuhusu kuubeba mzigo wa gharama za matumizi ya Muungano lakini kwanini hata upande wa pili wakionesha kutaka kujiengua wanalazimishwa?!
Huwezi kulazimisha ndoa na mtu asiyekutaka kwa sababu tu unampenda. Kwa sababu hii itawekwa wazi basi itabidi akubali tu.Lakini upande ambao utaukubali muungano, endapo muungano utavunjwa kisa upande mmoja umeamua kuukataa, utakuwa umelazimishwa kuuvunja muungano ambao bado unataka uendelee.
Hiki unachoongea sidhani kama kina ukweli sana, miaka ya 70,80 hadi 90 Zanzibar ilikuwa ni eneo ambalo bidhaa nyingi zilikuwa zinapatikana, akina mama kutoka bara walikuwa ndio wanatoka bara na kwenda kununua Zanzibar lakini kwasasa hali ni tofauti ambapo akina mama kutoka Zanzibar ndio wanaotoka Zanzibar na kwenda kununua bara hususan Kariakoo. Kinachonunuliwa Zanzibar sana sana ni vitu used labda na marashi pekee! Je unaliongeleaje hilo?Unakimbilia details. Kuna ushuru ambao Zanzibar waliushusha na hivyo kufanya bidhaa zao kuwa na bei ya chini kiasi cha kufanya wakina mama waende wakanunue huko na kuzileta Dar. Wenye viwanda upande wa pili wakalalamika na serikali ya JMT ikaona inapoteza kiasi fulani cha mapato hivyo wakasema ile tofauti ya ushuru ilipwe vitu vinapoingia Tanganyika kutoka Zanzibar.
Kulinganisha Morogoro na Zanzibar ni kusemq kuwa Zanzibar kuwa ni mkoa wa JMT. Hiyo sio kweli.
Amandla...
Na bei ilikuwa chini kwa sababu ushuru ulikuwa chini sana Zanzibar kuliko Bara. TRA walipoanza kudai ile tofauti ya ushuru ndio biashara ya Darajani ikaanguka. Wewe haujiulizi kuwa itakuwaje gari linunuliwe Dubai lakini likipitia bandari ya Zanzibar liwe na bei ya chini kuliko likipitia Dar? Lakini hili jambo lilizungumzwa kati ya nchi hizo mbili zikafikia huo muafaka. Ila kama bado unaona ni dhulma basi labda Muungano ukivunjike hali itakuwa nzuri zaidi na biashara ya Darajani itashamiri tena.Hiki unachoongea sidhani kama kina ukweli sana, miaka ya 70,80 hadi 90 Zanzibar ilikuwa ni eneo ambalo bidhaa nyingi zilikuwa zinapatikana, akina mama kutoka bara walikuwa ndio wanatoka bara na kwenda kununua Zanzibar lakini kwasasa hali ni tofauti ambapo akina mama kutoka Zanzibar ndio wanaotoka Zanzibar na kwenda kununua bara hususan Kariakoo. Kinachonunuliwa Zanzibar sana sana ni vitu used labda na marashi pekee! Je unaliongeleaje hilo?
Kwanini TRA wasiwe na mfumo mmoja tu wa ukusanyaji kodi ndani ya Tanzania nzima na badala yake ukiingiza bidhaa Zanzibar wanakata lakini bidhaa hiyo hiyo ukisafirisha kuiingiza bara wanakata tena ikiwa eneo lote ni la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Au labda unadhani shida iko wapi ikiwa TRA ile ile iliyopo Zanzibar ndiyo iliyopo Bara?Na bei ilikuwa chini kwa sababu ushuru ulikuwa chini sana Zanzibar kuliko Bara. TRA walipoanza kudai ile tofauti ya ushuru ndio biashara ya Darajani ikaanguka. Wewe haujiulizi kuwa itakuwaje gari linunuliwe Dubai lakini likipitia bandari ya Zanzibar liwe na bei ya chini kuliko likipitia Dar? Lakini hili jambo lilizungumzwa kati ya nchi hizo mbili zikafikia huo muafaka. Ila kama bado unaona ni dhulma basi labda Muungano ukivunjike hali itakuwa nzuri zaidi na biashara ya Darajani itashamiri tena.
Amandla...
Zanzibar hawatakubali kwa sababu pakiwa na mfumo mmoja wa ushuru bei za bidhaa Zanzibar zitapandana na hivyo kuwaumiza wazanzibari.Kwanini TRA wasiwe na mfumo mmoja tu wa ukusanyaji kodi ndani ya Tanzania nzima na badala yake ukiingiza bidhaa Zanzibar wanakata lakini bidhaa hiyo hiyo ukisafirisha kuiingiza bara wanakata tena ikiwa eneo lote ni la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Au labda unadhani shida iko wapi ikiwa TRA ile ile iliyopo Zanzibar ndiyo iliyopo Bara?
Siongelei vitu kama magari bali niko kwenye bidhaa ndogo ndogo.
Sidhani kama ulishawahi kutafiti hilo lakini nijuavyo ndani ya Muungano Zanzibar si nchi ila nje ya Muungano Zanzibar ni nchi na hiki ndicho kinachotumika kuwachapa mijeledi wafanyabiashara wadogo wanaoingiza bidhaa bara kwa vile wametoa Zanzibar hivyo inachukuliwa ni nje ya Muungano.