and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,410
- 40,089
A380 kulishusha bongo labda muuze figo Dar nzima!Tanganyika kwenye Aviation ni kama kijiji tu. Viwanja vidogo, vifaa hamna wala abiria. Kuileta A380 huiu ni hasara kubwa. Wananchi wanahimizwa kuchangamkia nauli za Kimbinyiko.
Ilikuwa ni Kwa ajili ya kufanyia majaribio ya ETOPSA380 imewahi kutua JNIA mara mbili,
mwaka 2018 kwa mara ya kwanza na mwaka 2023 ilitua kwa mara ya pili ikitokea Brazil kuelekea Dubai,
...ila tumepiga saana hatua ukilinganisha na miaka 10 iliyopita. Wote hatuwezi tukafanana.Tanganyika kwenye Aviation ni kama kijiji tu. Viwanja vidogo, vifaa hamna wala abiria. Kuileta A380 huiu ni hasara kubwa. Wananchi wanahimizwa kuchangamkia nauli za Kimbinyiko.
One day tutafika tu mkuu, ingawa changamoto bado ni nyingi mnoo.Sisi tuendelee kupambana na mapanga boy tu
Changamoto za kutokulinda mgongo?One day tutafika tu mkuu, ingawa changamoto bado ni nyingi mnoo.