Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,254
- 907
Cheki Darasa hilo 1914
![]()
Heli enzi za utawala wa wakoloni wanafunzi wote walikaa kwenye madawati lakini baada ya miaka 98 utawala wa CCM unawakalisha chini wanafunzi! Hadi aibu!
Cheki Darasa hilo 1914
![]()
Kumbe bora utawala wa Mjerumani kuliko huu wa Magamba. Natamani warudi tena.Cheki Darasa hilo 1914
![]()
it is an avatar, stupid!Kweli unachukia ngozi nyeupe, ndio maana avatar yako nyeusiiiiiiiii
wamepigwa minyororo hao tayari kwa kazi ngumu ya kushindilia barabara au njia ya reli kama sikosei..na bakora juu! and god knows how many walidhalilishwa kijinsia.Mdau nimeshindwa kubaini wanachofanya hawa....
Afadhari huyo mwalimu si mkoloni nadhani wanafunzi walikuwa wanamwelewa anachowafundisha.Cheki Darasa hilo 1914
![]()
For the old sake of this central railway line, bora warudi. Naona serikali imeshindwa kuiripea, labda waje wenyewe walioijenga kutushurutisha kuiripea.
Hiyo ni picha ya watumwa ambao wengi wao walikufa njiani wakipelekwa Zanzibar kuuzwa. Tip Tip (Mohammed bin Ahmed Said Al Jabri) ndio alikuwa kinara wa kuwakamata na kuwapeleka sokoni kupitia Bagamoyo. Kigoma na Tabora ndio ziliathirika sana na mambo haya ya Biashara ya Utumwa
mbaya zaidi hawa wazungu they have never apologized for what they did to our ancestors..
tulitakiwa tuwadai fidia kwa madhila ya kimwili na kijamii waliyowafanyia mababu zetu.
We jamaa umekaa kishenzi shenzi, sijui unafananaje !? Nanasi au parachichi !?it is an avatar, stupid!
Hivi wanaomsifia mjerumani kwa kujenga reli wanafikiri aliijenga ili wamanyema wasafiri toka Kigoma mpaka Dar..??Ukweli ni kwamba alijenga Reli ili kurahisisha wizi wa raslimali alizokuwa akivuna katika koloni lake na wala tusifikiri elimu yake ilikuwa na lengo la kumkomboa mtanganyika,bali ilikuwa ni kuandaa watumishi watakaomsaidia kuiba vizuri, hivyo wanaomsifia mjerumani naomba waangalie upya lengo na madhumuni ya elimu ya mkoloni..Ni bora niwe maskini lakini niko huru kuliko kuwa tajiri nisiye na uhuru wangu..
na watu wanaotawadha kwa kutumia mchanga au mawe watakua akina nani? ficha upumbavu wako!We jamaa umekaa kishenzi shenzi, sijui unafananaje !? Nanasi au parachichi !?
Eee bwana hukuwahi kusoma phsycal geography?Sio CCP hapa??