Tanganyika chini ya mjerumani

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
duhu, tukumbuke tulikotoka. si miaka mingi iliyopita. hii ilikuwa Tanganyika 1915 chini ya himaya ya mjerumani. reli na barabara zilijengwa kwa kasi ya ajabu. wabongo tulikuwa weusi mpaka tunang'aa. sio siku hizi uvivu, udaku na mikorogo vimetawala!

429617_192388380861798_159545840812719_232852_854404904_n.jpg
 
nikiangalia hizi picha natokwa machozi na kushikwa na hasira sana..nachukia sana ngozi nyeupe.
 
huyu maza wa kati kati amevaa kilemba, amenivutia kweli aisee
 
ndio maana viongozi kama akina Kinjeketile na Mkwawa waliamua kuingia msituni na kuanzisha "maasi". siku hizi viongozi wetu hawana ubavu!
mbaya zaidi hawa wazungu they have never apologized for what they did to our ancestors..
tulitakiwa tuwadai fidia kwa madhila ya kimwili na kijamii waliyowafanyia mababu zetu.
 
sana sana sasa wameamua kutudumaza na "misaada" (yaani wanatupa shilingi moja halafu wao wanakusanya tano)
 
Mimi hiyo minyororo waliyofungwa shingoni mwao ndo imenitia simanzi pamoja na hiyo kazi wanayoifanya ya kushindilia barabara kwa mkono. Hivi wakirudi leo watatufanyia haya haya?
 
For the old sake of this central railway line, bora warudi. Naona serikali imeshindwa kuiripea, labda waje wenyewe walioijenga kutushurutisha kuiripea.

Hiyo ni picha ya watumwa ambao wengi wao walikufa njiani wakipelekwa Zanzibar kuuzwa. Tip Tip (Mohammed bin Ahmed Said Al Jabri) ndio alikuwa kinara wa kuwakamata na kuwapeleka sokoni kupitia Bagamoyo. Kigoma na Tabora ndio ziliathirika sana na mambo haya ya Biashara ya Utumwa
 
duhu, tukumbuke tulikotoka. si miaka mingi iliyopita. hii ilikuwa Tanganyika 1915 chini ya himaya ya mjerumani. reli na barabara zilijengwa kwa kasi ya ajabu. wabongo tulikuwa weusi mpaka tunang'aa. sio siku hizi uvivu, udaku na mikorogo vimetawala!

429617_192388380861798_159545840812719_232852_854404904_n.jpg

sijui kama hawa wamama waliwahi kuziona hizi picha zao,
nazani weupe walikuwepo-sema kwa kuwa picha zilikuwa black&white huwezi jua yupi mweusi na yupi mweupe-wote wanakuwa kitu kimoja

nikiangalia hizi picha natokwa machozi na kushikwa na hasira sana..nachukia sana ngozi nyeupe.
Huna haja ya kuwachukia,unatakiwa kuwashukuru,bila wao leo hii tungukuwa tunaishi ki-primitive sana,jaribu kuangalia jamii za watu ambao hawajawai pitiwa na hawa watu unawaochukia utaona wanaishije,tafuta wale wanaoishi deep kwenye misitu ya Papua New Guinea na kwenye jungles za south america uone leo hii wanaishije
 
duhu, tukumbuke tulikotoka. si miaka mingi iliyopita. hii ilikuwa Tanganyika 1915 chini ya himaya ya mjerumani. reli na barabara zilijengwa kwa kasi ya ajabu. wabongo tulikuwa weusi mpaka tunang'aa. sio siku hizi uvivu, udaku na mikorogo vimetawala!

429617_192388380861798_159545840812719_232852_854404904_n.jpg

Mdau nimeshindwa kubaini wanachofanya hawa....
 
Back
Top Bottom