Tanga raha jamani

Tanga raha jamani

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
1546972898250.png

Chakula waletewa kimebebwa mgogoni.....
 
hiyo Tanga labda Oman na falme za kiarabu ndo kuna mambo za ivo
 
Unyanyasaji wa kijinsia huo

haha...ndio maana watu wakienda huko kurudi majaaliwa, maana warembo wa kwenye miji mikubwa ndio kama hivyo, mnajionea mnanyanyaswa tuu kila kitu

wenzenu hapo Tanga mwanaume mzimaaa, unakuta analia kama mtoto....maana alishajizoelea mjini anapangiwa masharti tuu, alafu anapimiwa kidogooo....kwanini asiuze shamba sasa
 
Hiko chakula hapo mgongoni aliweka nani?? Ingekua hivyo ndoa za mitala zisingekua nyingi huko tanga
 
haha...ndoa hua inaondoa mahaba, tanga ni kazi tuu,....mambo ya ndoa,katiba. sijui sheria na taratibu unaviachia ubungo huko!
 
Mtu hani inamishi mgongo hivyo na mahotpot. Mahaba kwangu sio kubeba hotspots mgongoni kama mtumwa
 
Ndio unafki unapoanzia hapo. Kujifanya una mahaba tele kumbe kuna fungu

ki msingi sidhani kama kuna mrembo siku hizi anayekua kwenye mahusiano na mtu kwasababu ana "feelings" tuu ikaishia hapo...lazima somehow somewhere kuna mahitaji yako yanayotimizwa ki fedha....ndio yana stimulate feelings...point yangu ikiwa...at the end, it is always about ze money
 
Hao tunawaita wadangaji. Mtu mpende for who he/she is kuna leo na kesho.
 
hii kitu ipo kweli? ya mwanamume wa tanzania hii hii ..akapendwa tuu, kwa alivyo , yeye pamoja na suruali yake bila other strings, attached?? maana jamii yenyewe tuu itakupa jina baya
 
Ukishajiwekea kukataliwa nani atakukubali? Usikilize ya watu kwani umeekewa gundi? Roho ya kujidharau ikitoka hata mengine yanafunguka tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom