TANGA: Mvua kubwa iliyodumu kwa siku nzima yaleta maafa

polen sana ndugu zangu, maana sister angu alinipgia asbh kanyuti kwnd kwa job....hali si hali kwa kwel....
 
Tanga punguzeni maaswi
Waambie mkuu nilikuwa naishi maeneo ya Bombo Area kwa kweli ilikuwa mtihani maana tulikuwa tupo karibu na kumbi mbili kubwa za Harusi kwaiyo ikawa kila wikiend hatupumi wala hatulali kwa fujo za hao baikoko wakipumzika hao Mara Mabohora nao wanaingia kwenye Ibada yaani bughudha mtindo mmoja!!!
 
Eeh Mwenyezi mungu wafanyie wepesi wakazi wa tanga..Ugueni pole wandugu.
 
Mvua kubwa iliyonyesha mfulilizo kwa siku mbili,imevunja baadhi ya nyumba jijini Tanga. Na nyumba kadhaa kujaa maji, kimo cha kifuani. Mvua hiyo iliyonyesha kwa nguvu zaidi wakati wa usiku na upepo mkali, uliyosababisha, baadhi ya nyumba kuezuliwa mapaa.

Mitaa ya Tanga beach, kiboi, usagara, mzingani, nyumba nyingi zimefinikwa na maji,na wakazi wake kuokolewa na wasamaria wema, kwa kutupiwa kamba za kuwatoa majumbani. Maduka ya maeneo ya barabara ya jamaa na nyumba za maeneo hayo, maji yaliwaangilia mpaka ndani. Wakazi wa maeneo hayo, walikuwa wakionekana, wakitoa maji, kutoka kwenye nyumba zao, kwa kutumia ndoo.
 
Back
Top Bottom