Tanga msimu umeanza sasa watu wanamiminika

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Tanga Msimu wa machungwa umeanza sasa.

IMG-20190502-WA0020.jpg

Mnakaribishwa. Mshindwe wenyewe tu
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chupi bana... Haijawahi kumuacha mwanaume salama
wakati huo huo tunapaswa kuilinda na kuithamini maana imebeba siri nyingi. mwisho wa kunukuu mjomba.
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chupi bana... Haijawahi kumuacha mwanaume salama

Kuna mmoja nilimuona anauza duka.

Kajifunga kikoi cheupe ila sasa ndani kavaa chupi tu, na kwa kuwa chupi ni nyeupe kuliko kikoi daaa, yaani naona mistari ileee, anainuka Mara apeleke soda Mara aingie na kutoka dukani.

Daaah sijui Money Penny anavaaga hiviii
 
Chupi ikiwa dukani haina mzuka!! Ikianinkwa haina mzuka pia!! Ionekane imevaliwa mzuka wake ni balaa kuliko hata kuona Mbunye
 
Mtu Awe Na Busha Lake Hapa Angoje Apelekwe Sijui Wapi Kupasuliwa. Haa🤣😁😅😅😂😀😆🎶
Nimesema Bush Za Gari!!!!🤔🎵🎶🎸
 
Kuna mmoja nilimuona anauza duka.

Kajifunga kikoi cheupe ila sasa ndani kavaa chupi tu, na kwa kuwa chupi ni nyeupe kuliko kikoi daaa, yaani naona mistari ileee, anainuka Mara apeleke soda Mara aingie na kutoka dukani.

Daaah sijui Money Penny anavaaga hiviii
Nenda YouTube utaona rangi yangu ya chupi
 
Back
Top Bottom