Fantasy Premier League 26/27

Fantasy Premier League 26/27

Hujaza Kibaba

Senior Member
Joined
Sep 5, 2019
Posts
104
Reaction score
116
FANTASY PREMIER LEAGUE

Familia karibuni kwenye ligi ya watu wa mpira ya fantasy msimu huu mpya wa premier league, ligi yetu ina season 5 hadi sasa za ushindani karibuni tukafurahie msimu mpya wa ligi bora, kama uko interested nicheki tu PM ili tujoin kwenye group la whatsapp na tuanze kupanga vikosi mameneja

Entry fee ni 12k, hamna hela nyengine ya kutoa msimu mzima

Mshindi wa wiki anapata 0.5% ya total fee

Mshindi wa mwezi anapata 4% ya total fee

Mshindi wa kwanza wa msimu anapata 23%

Mshindi wa pili wa msimu anapata 11%

Mshindi wa tatu wa msimu anapata 7%

NB: Washindi wa wiki na mwezi kutoka GW 1- GW 19 watapewa zawadi zao baada ya GW 19 na washindi wa wiki na mwezi kutoka GW 20 - 38 watapewa zawadi zao baada ya GW 38
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    52.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom