Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,931
Ibebe mkuu ipeleke moshi.Yetu yote mkuu I have my property there of wch the value goes decline as days goes on compare kwa majiji mengine
[emoji1] ukhuty kumbee mtanga mwenzanguHebu tuachie tanga yetu kumekucha hivyo
Barabara ya ishirini mbona mbali mkuu, nenda Mabanda ya papa uone.Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....
Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...
Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)
.....
Barabara ya ishirini mbona mbali mkuu, nenda Mabanda ya papa uone.
Yaani we acha. Ukitoka junction ya Mabanda ya papa kuelekea Makorora via chuo cha Zahrauh, kuanzia saa 9 kwenda mbele, watu watandaza mikeka nje na kupunga upepo. Uvivu!Mkoa wa kiduwanzj Sana huu
kama??Vipo tele hujaviona tu
kiukweli sikuwahi kufika Tanga miaka ya nyuma nlikuwa naskia panasifiwa tu luckily mwaka huu nikafanikiwa kufika ni mji mdogo sana population pia sio kubwa afu mpaka zile nyumba pembezoni mwa barabara kuu watu wanaishi as in kwenye miji mingine ni za biashara. .Nlipenda vitu viwili kuhusu Tanga,watu wake wakarimu na vyakulaJiulize kama we ni mwenyeji miaka 18 nyuma Kange palikuwaje? Nhumu. Sana kuendeleza seheemu iliyo endelea tayali. Jiji la Tanga Lima tanuka sana.Hari ya kiuchumi ya mkoa ndo tatizo
Umefika mtaa gani.. Na mtaa gani?kiukweli sikuwahi kufika Tanga miaka ya nyuma nlikuwa naskia panasifiwa tu luckily mwaka huu nikafanikiwa kufika ni mji mdogo sana population pia sio kubwa afu mpaka zile nyumba pembezoni mwa barabara kuu watu wanaishi as in kwenye miji mingine ni za biashara. .Nlipenda vitu viwili kuhusu Tanga,watu wake wakarimu na vyakula
Hebu Nieleze kuanzia Raskazone mpaka Kange ni km ngapi?kiukweli sikuwahi kufika Tanga miaka ya nyuma nlikuwa naskia panasifiwa tu luckily mwaka huu nikafanikiwa kufika ni mji mdogo sana population pia sio kubwa afu mpaka zile nyumba pembezoni mwa barabara kuu watu wanaishi as in kwenye miji mingine ni za biashara. .Nlipenda vitu viwili kuhusu Tanga,watu wake wakarimu na vyakula
Huo mchezo unaupeda sana eti !!Haa kuumbe wapo nyuma kiuchumi wakati uchumi wanao,nasikia tanga ndio mapenzi yalizaliwa huko,sasa huo ufundi wao badala wautumie kuteka wafanyabiashara wakubwa wakubwa wenyewe wanadaka vidagaa vidogo visivyo na hela aisee
Atleast we nmekuelewa coz ktk maelezo yako umejaribu kueleza chanzo cha tatizo big up brouhTatizo kubwa la jiji la Tanga ni uchumi wake kushikiliwa na waarabu na wahindi. Hawa ndio walioishija Tanga kiuchumi na wengi wao wana uraia was zaidi ya moja hivyo pesa wanazozichuma Tanga hawawekezi Tanga bali uzipeleka kwenye nchi zao za asili (uarabuni, Canada, India n.k) hii ni tofauti na mikoa mingine kama Mbeya, Iringa n.k, ambapo uchumi wa mikoa hiyo umeshikiliwa na wazawa na wanawekeza humo. Mabasi karibia yote yanayofanya safari za kutoka Tanga kwenda mikoa mingine k.m Dsm, Arusha n.k yanamilikiwa na waarabu, hivyo uchumi waTanga utazidi kudidimia na kupitwa na mikoa mingine Kama wazawa (wadigo, wasambaa n.k) hawataacha uvivu na kuamua kufanya kazi kwami mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe na si kutegemea wageni.
Hakuna kitu Kange. Walidhani stand mpya italeta mabadiliko, hakuna kitu. angalia yale maframe ya maduka kibao hakuna wa kuyapanga!But mji unahamia Kange mjomba