jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 630
Nenda kilimanjaro ukikuta nyumba za nyasi nakupa milion 10Ukinitajia sehemu ambayo haina nyumba za nyasi Tanzania hii naenda kesho central kumpiga kofi I.g.p wetu
Nyie mkae kimya kabisa,mnatia aibu sana mnawakimbia waume zenu kisa dushe.N
Nenda kilimanjaro ukikuta nyumba za nyasi nakupa milion 10
Nilikuja huku nikashangaa sana wanaabudu waganga kuliko kitu chochote kweny hii dunia eneo nililopo ni korogwe mjini lakini umeme hakuna kisa kuna wazee 2 walisema umeme hautaingia kweny huu mtaaMijinga sana
Itazd kubaki hivyohivyoNilikuja huku nikashangaa sana wanaabudu waganga kuliko kitu chochote kweny hii dunia eneo nililopo ni korogwe mjini lakini umeme hakuna kisa kuna wazee 2 walisema umeme hautaingia kweny huu mtaa
Matusi ya nini tena, Njoo Tanga tukufundishe usaarabu. Watu wa Tanga hatukuzoea tabia kama izo. Muda wote ukitembea katika jiji letu hakuna vibaka wala majambazi, Tanga ndio sehemu salama ya kufanya biashara, na ndio sehemu salama yakuekeza, wauza chips wale wa balabalani wanauza hadi saa 10 usiku, muda wote ukiingia katika JIJI letu uhakika wakupata chakula upo, na hotels zote zipo wazi muda wote 24/7. Karibu sana Tanga.Mijinga sana
Unamuoa nani best?Nitakuja kuoa Tanga, nitakuwa shemeji yako
[emoji1] [emoji1] mtoto wa Tanga bestUnamuoa nani best?
Umeshampata best au ndio unamsaka?[emoji1] [emoji1] mtoto wa Tanga best
Bado ndo namsaka[emoji1] [emoji1]Umeshampata best au ndio unamsaka?
Nyie matajiri mnaishi Dunia tofauti na yetu kwani? ila pamoja na majivuno yenu M/Mungu katuweza maana tajiri na masikini .....wote kunyaMta
Mtabaki maskini hivyo hivyo kwa akili mbovu hizi
Watu wangekua wanafikiri hivyo kungekua na maendeleo duniani?
Elimu elimu elimu
Bado ipoLa Casa bado ipo Tanga?
Niliruka nyoka sana hapo na watoto wa Kampala.