Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,337
Nipo Tanga nyumba za nyasi Ushirikina umekidhir hakuna maendeleo yoyote mna wivu hampendi kuona mtu kafanikiwaMsiifananishe Tanga na vitu vyakipuuzi ww unaesema Tanga kuna vibanda vya Nyasi ulifika tanga miaka ya 70.
Siku ukipata chance njoo Tanga ujekujionea Jiji letu lilivyo-endelea.
Home Sweet home.
Sasa kama unaaibishwa si uamie hata congo au burundi.mkuu kama upo akilin kwangu vile
yaan n shiida,wao n kucheza baikoko na kuoa wanawake kila uchwao,vijumba vya nyasi usipime,hawa watu wanaaibisha kaskaxn
Nyie si ndio wa kwanza kwa wizi na ufisadi,Na mtatia akili msimu huu.ofcource maana ktk kaskazn nyie mpo mwisho kila idara
Ukinitajia sehemu ambayo haina nyumba za nyasi Tanzania hii naenda kesho central kumpiga kofi I.g.p wetuNipo Tanga nyumba za nyasi Ushirikina umekidhir hakuna maendeleo yoyote mna wivu hampendi kuona mtu kafanikiwa
kijana nipo hapa korogwe mtaa wa lwengera huku kwa wazigua nyumba za tope wameezeka na nyas acha kuongopea watu kuna mashamba mazur hayalimwi ndio nimekuja kamata fursa kijana nyie wavivu na mna roho za kwa nini..... mnachojua ni kugegedana na vigodorounamatatizo ngoja nikuache wala sikuopoi.
huku zimezidiUkinitajia sehemu ambayo haina nyumba za nyasi Tanzania hii naenda kesho central kumpiga kofi I.g.p wetu
We acha uongo,lwengera unayoizungumzia wewe ni ya nchi ipi?kama ni ile nnayoijua utakua muongo ulietukuka,lwengera watu wanalima mahindi hatari,wanaume wanatembea na gunia za mkaa kwa baiskeli karibu km 60 kila siku kutafuta riziki bado unasema hawajishughulishi?anzia darajani mpaka manundu watu wazigua wanalima balaakijana nipo hapa korogwe mtaa wa lwengera huku kwa wazigua nyumba za tope wameezeka na nyas acha kuongopea watu kuna mashamba mazur hayalimwi ndio nimekuja kamata fursa kijana nyie wavivu na mna roho za kwa nini..... mnachojua ni kugegedana na vigodoro
Mashamba si haya huku meupe na maji mtoni yanatiririka wew unaongelea kilimo cha msimu mikaa ipi wanauza njoo huku mwezi wa 4 uone wanavyolia njaa kama unanyege zako ugegeda hadi wanaume na vijana wa huku ni wezi asilimia kubwa na akiwa na 2000 mfukoni hataki kazi acha sifia ujinga mim naishi nao huku nduguWe acha uongo,lwengera unayoizungumzia wewe ni ya nchi ipi?kama ni ile nnayoijua utakua muongo ulietukuka,lwengera watu wanalima mahindi hatari,wanaume wanatembea na gunia za mkaa kwa baiskeli karibu km 60 kila siku kutafuta riziki bado unasema hawajishughulishi?anzia darajani mpaka manundu watu wazigua wanalima balaa
Nyie si ndio wa kwanza kwa wizi na ufisadi,Na mtatia akili msimu huu.
akili za wavivu utazijua tuNyie si ndio wa kwanza kwa wizi na ufisadi,Na mtatia akili msimu huu.
n kweli mkuu hawa watu n wavivu hatarMashamba si haya huku meupe na maji mtoni yanatiririka wew unaongelea kilimo cha msimu mikaa ipi wanauza njoo huku mwezi wa 4 uone wanavyolia njaa kama unanyege zako ugegeda hadi wanaume na vijana wa huku ni wezi asilimia kubwa na akiwa na 2000 mfukoni hataki kazi acha sifia ujinga mim naishi nao huku ndugu
uhame we mvivu sii mmSasa kama unaaibishwa si uamie hata congo au burundi.
wao ndio wanatafunwaWatu wa Tanga walitafuna jicho nini?
tanga yoote naijua Hansen,kilind,lushoto,pangan,muheza,nyie n uvivu na kucheza baikoko tuMsiifananishe Tanga na vitu vyakipuuzi ww unaesema Tanga kuna vibanda vya Nyasi ulifika tanga miaka ya 70.
Siku ukipata chance njoo Tanga ujekujionea Jiji letu lilivyo-endelea.
Home Sweet home.
Mmh [emoji15] [emoji15]Tanga kuna mijitu mivivu kuangalia mpira uwanjani MTU anaenda na jamvi kulala hawezi tizama dakika 90 bila kulala
ile ilikua propaganda ya kisiasa tuKwa jinsi wanaume wakichaga mlivyotuabisha tunatamani kujitoa kwenye huo ukaskazini hata kesho,hivi kweli wanawake wanakimbia nchi jirani kutafuta muhogo kweli jamani