Tanga kwetu raha

Pande za Bombo hapa weekend kama hii ni kujiachia tu Raskazone beach na watoto wa kitanga
 
Shehoza kashafilisika? na Badru Issa yule mhaya
 
Watu wa hovyo hovyo ni watanga na pwani sijawai kuona
 
Madame s unakaa wapi nije nikutembelee jumapili?
Au kwenu mlango upo juu ya bati?
 
tanga ndio inaaibisha kanda ya kaskaxini
mnatakiwa muwe kanda ya pwani kwa wavivu wenzenu
ktk kaskaxini,tanga ndio ya mwisho kila kitu

Huo Ndiyo ukweli japokuwa wengi huwa hawapendi kuambiwa ukweli!
Asili, jadi na chimbuko la wazazi wangu ni Tanga ijapokuwa nilizaliwa Muhimbili !
Unakuta Mtu ana familia hana kazi yeyote lakini mapori kibao Ila hataki kushika jembe alime japo hata kuazima shamba la Mtu kwa kumuazima!
Walau wazigua wa Handeni, pande Za Kilindi na Ushoto huko ndo wanajitahidi kulima ingawa ukiwakuta wamechoka!
 
Siyo wote Ila kusema ule ukweli walio wengi ni "wabwa" [emoji85][emoji85][emoji14] Kama wakwele
 
n kweli mkuu
hawa watu wao n kucheza baikoko tu,wanaaibisha kanda ya kaskazn wahamishiwe pwan kama vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…