Tanga kunani 28th - 30th Dec 2012

Tanga kunani 28th - 30th Dec 2012

Za kwetu ,nahisi tulikosea masharti maana ziliungua tu baada ya kupanda gari kurudi makwetu...

Watu wa Tanga nomaa....

Hahahaaa. marejesho...au hamkutoa sadaka pale amboni carves unapoingia tu pangoni kushoto?
 
Last edited by a moderator:
Thanks a lot Marejesho for the pics...now I agree what gfsonwin was not cheating me when I fret on the pics someone posted and was visible on my screen (public). What also I learned is the poster was posted by a wee lad of mind who doesnt know how to cleave into reality.


QUOTE=marejesho;5346849]Kwa kweli ilikuwa raha sana.... Jionee mwenyewe tulikopita na tuliyoyaona ........

Copy: Filipo , Mwanyasi , PakaJimmy , Blaki Womani , Preta , Arushaone , Lily Flower , wera Wera watu8 , Madame B , KOKUTONA , Dark City , Arabela , Chuwa kachara , watu8 , Smile[/QUOTE]
 
Haya bwana,

Mie sina swali tena,

Nakutakia heri ya mwaka mpya mdogo wangu marejesho.....

Mwakani, mpuguzie dozi kijana wangu Filipo ili aache kuziona nyota nyota..

Babu DC!!

Nimekusoma Babu Dark City .
Nami nakutakia wewe pamoja na familia yako Mwaka Mpya Mwema.....

NOTE: Filipo hajakiri kwamba dozi ni kubwa Babu... Vijana wa sasa sio kama wa enzi yenu... Lazima wapelekwe mchakamchaka.....
 
Last edited by a moderator:
Jamani mara hii mmeshafika Desemba 2013 wakati sisi tunautegemea kuanza kesho? Imekaa vizuri lakini.
 
Jamani mara hii mmeshafika Desemba 2013 wakati sisi tunautegemea kuanza kesho? Imekaa vizuri lakini.

Hapo ni maandalizi ya 2013 yametawala kichwa na mikono.. Nimesham-PM Invisible abadilishe...
 
Last edited by a moderator:
Smile na watu8 njooni mtuhakikishie.....

hahaha kitu cha Anjari ya karafuu...ile yaitwa Soda ya mahaba sasa sijui Smile yu katika hali gani sasa maana alizichapa ka chupa mbili hivi...
 
Last edited by a moderator:
hahaha kitu cha anjari ya karafuu...ile yaitwa soda ya mahaba sasa sijui smile yu katika hali gani sasa maana alizichapa ka chupa mbili hivi...
nyie wote mlikuwa mpo kimahaba mahaba nikaona nijilipue na misoda mie..hadi leo tumbo lote ni karafuu mtupu
 
nyie wote mlikuwa mpo kimahaba mahaba nikaona nijilipue na misoda mie..hadi leo tumbo lote ni karafuu mtupu
Smile hakuna tena haja ya kupulizia marashi.... Unapata zako anjari ile nyeupe, kitu kinanukia wiki mbili hivi....
 
Last edited by a moderator:
2012-12-26 14.53.22.jpg
Na mimi nilikuwa Tanga bana..xmas hiyo!!!!
 

Attachments

  • 2012-12-25 11.46.24.jpg
    2012-12-25 11.46.24.jpg
    553.8 KB · Views: 40

Similar Discussions

Back
Top Bottom