Uwiiiii.......!!!
Ndo maana mie nakula pension yangu. Mchakamchaka kama ule wa jeshini nitauweza wapi mie?
Mmeambiana kwamba msijitoe sura zenu nini? Mbona mwapiga mipicha ya mijivuta na mijisehemu mijisura yenu mbona hamuuzi?
Mbona hakuna dalili ya kupatikana bata humo?View attachment 77628Maeneo hayo ndo nilikuwa tukila bata mpaka kuku wakaona wivu!!!