Tanga kunani 28th - 30th Dec 2012

Tanga kunani 28th - 30th Dec 2012

We mtoto Power G nani kakwambia wanawake wanaruhusiwa kwenda chumvini? Futa kauli!
Wewe Arushaone kwa kitendo chako cha kuniita mtoto, naona hujipendi na hupendi uhai wako. Je huniogopi na minofu yangu yote hii? Au hiki kifua hukioni? Nakuonya usirudie tena, vinginevyo nitakutokezea huko huko Arusha kama radi.
 
Wewe Arushaone huogopi kuniita mtoto na minofu yangu yote hiyo? Au hicho kifua hukioni? Nakuonya usirudie tena, vinginevyo nitakutokezea huko huko Arusha kama radi.

Nakuonya we mtoto...acha kutoa povu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom