TANGA: Gari la Magazeti lapata ajali

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Gari aina ya Toyota Hiace lililokuwa likisafirisha magazeti toka Dar es Salaam kwenda Arusha limepata ajali usiku wa kuamkia Leo eneo Mkata mkoani Tanga. Dereva wa gari hilo na mtu mwingine wanasadikika kupoteza maisha.

Magazeti.PNG


Hizi mashine dah!
 
Pole mno kwa wote walioguswa na ajali hii, ninajuuliza dunia ya sasa faida ipo wapi kwa wasafirishaji wa magazeti haya na wachapishaji? Let's say unapeleka nakala 10,000 za magazeti kanda ya kati, mbona gharama ni kubwa mno kuliko faida na huna uhakika kama nakala zote zitanunuliwa, ni wakati wa kuja na ufumbuzi mwingine hapa.
 
Pole mno kwa wote walioguswa na ajali hii, ninajuuliza dunia ya sasa faida ipo wapi kwa wasafirishaji wa magazeti haya na wachapishaji?let's say unapeleka nakala 10,000 za magazeti kanda ya kati, mbona gharama ni kubwa mno kuliko faida na huna uhakika kama nakala zote zitanunuliwa, ni wakati wa kuja na ufumbuzi mwingine hapa.
Ufumbuzi ni nakala kuchapishwa kwa njia ya mtandao.
 
Hawajapata tena nyingine kwa hiyo?
Bado. Awajaipata ingine- ilikuwa ya mtu binafsi alikuwa anaikodisha kwa makampuni ya magazeti. kuna aja Serikali ikaingilia kati hili maana kila Mara hizi gari zinapoteza watu 😭 Mfano makampuni ya magazeti yakapewa mkopo wakanunua ata Cessina ya 300 millions ikawa inasambaza magazeti toka saa nne usiku mpaka ikifika alfajiri inarudi Dar
 
Gari aina ya Toyota Hiace lililokuwa likisafirisha magazeti toka Dar es Salaam kwenda Arusha limepata ajali usiku wa kuamkia Leo eneo Mkata mkoani Tanga. Dereva wa gari hilo na mtu mwingine wanasadikika kupoteza maisha.

View attachment 2348734

Hizi mashine dah!
Pole kwa Marehemu wote, wazazi, ndugu, Jamaa, marafiki na taifa kwa ujumla.

Mwanga wa Milele uwape
Ee Bwana
Wastarehe kwa Amani.
 
Bado. Awajaipata ingine- ilikuwa ya mtu binafsi alikuwa anaikodisha kwa makampuni ya magazeti. kuna aja Serikali ikaingilia kati hili maana kila Mara hizi gari zinapoteza watu Mfano makampuni ya magazeti yakapewa mkopo wakanunua ata Cessina ya 300 millions ikawa inasambaza magazeti toka saa nne usiku mpaka ikifika alfajiri inarudi Dar
Unadhani wenyewe hawapendi kutumia ndege mkuu tatizo ni gharama hawatapata faida.shida ni sisi wenye viherehere utapandaje gari ya magazeti?
 
Back
Top Bottom