TANGA: Gari la Magazeti lapata ajali

TANGA: Gari la Magazeti lapata ajali

Gari aina ya Toyota Hiace lililokuwa likisafirisha magazeti toka Dar es Salaam kwenda Arusha limepata ajali usiku wa kuamkia Leo eneo Mkata mkoani Tanga. Dereva wa gari hilo na mtu mwingine wanasadikika kupoteza maisha.

View attachment 2348734

Hizi mashine dah!
Aisee unaweza kuta namjua suka, ningeona picha yake au jina ninge mjua, make nawatumiaga sana kutuma mizigo Arusha
 
Mungu awarehemu Wafiwa!! Ila isije kuwa sababu ya polisi kukaa mabarabarani Kwani hii ni ajali ambayo polisi hahusiki kuzuia
Mkuu mbona trafiki barabarani wapo kibao tuu aisee
 
kwanini wasiwe na ofsi za kuprint kila mkoa yaani waandaaji wanatuma tu softcopy kwa njia ya email ili kuokoa gharama, muda na ajari.
 
Kuna cku nilikua nasafiri nilienda pale uyole nikakuta costa bei haikuniridhisha ilikua kubwa basi nikasogea mbele nikaona hiace kama hyo bei waliyonitajia nikalipa fasta nikazama ndani nikakuta gari linasiti chache halafu zilivyokaa hovyo nikashangaa nikaona nipotezee bc safari ikaanza tunafika mbele nawasikia abiria wenzangu wanasema hili gari ni la magazeti nikashtuka nikasema leo nimepanda mtumbwi wa kibwengo bc nikaona mwendo wa kawaida tukaanza kupiga story huku vinywaji vikali vikiendelea kulikua na mwanamke mmoja ni mmalawi alikua hawez ongea kiswahili vizuri kwenye hilo gari kuna madereva wawili bc bhan giza lilivyoingia zilipigwa gia mle ndani nikaona kila mtu kimya hamna tena story dah kuna mda jamaa anaovertake malori manne halafu kwenye kona nilivyofika nikasema asante mungu hayo magari yanatembea c mchezo
 
Pole mno kwa wote walioguswa na ajali hii, ninajuuliza dunia ya sasa faida ipo wapi kwa wasafirishaji wa magazeti haya na wachapishaji? Let's say unapeleka nakala 10,000 za magazeti kanda ya kati, mbona gharama ni kubwa mno kuliko faida na huna uhakika kama nakala zote zitanunuliwa, ni wakati wa kuja na ufumbuzi mwingine hapa.
Gari itatumia laki 6 tu kwenda na kurudi. Mkoa wa Arusha au Mbeya.

Tuchukulie gazeti 1 ni shilling 800. Katika gazeti 10,000. Wanakuwa na million nane
 
Magari yote ya magazeti huwa ya kukodi so wenye magazeti hawana hasara
 
Pole mno kwa wote walioguswa na ajali hii, ninajuuliza dunia ya sasa faida ipo wapi kwa wasafirishaji wa magazeti haya na wachapishaji? Let's say unapeleka nakala 10,000 za magazeti kanda ya kati, mbona gharama ni kubwa mno kuliko faida na huna uhakika kama nakala zote zitanunuliwa, ni wakati wa kuja na ufumbuzi mwingine hapa.
Tatizo unaliangalia gazet Kwa sh 1000 hujui Kuna biashara kubwa ya matangazo magazeti wanaifanya
 
Pole mno kwa wote walioguswa na ajali hii, ninajuuliza dunia ya sasa faida ipo wapi kwa wasafirishaji wa magazeti haya na wachapishaji? Let's say unapeleka nakala 10,000 za magazeti kanda ya kati, mbona gharama ni kubwa mno kuliko faida na huna uhakika kama nakala zote zitanunuliwa, ni wakati wa kuja na ufumbuzi mwingine hapa.
Ufumbuzi ni kuwa na printing Center katika kila kanda au kila mkoa ili iwe rahisi kusambaza hayo magaazeti kwa muda mfupi na kwa gharama ndogo..
 
Nilipanda siku moja na nakumbuka usiku kucha nilikuwa na malaya

Njiani nilikuwa nasali na kuomba msamaha kimoyo moyo nasema hapa nikifa tendo langu la mwisho lilikuwa ni uzinzi hapa ni motoni moja kwa moja
 
Hivi gazeti la majira bado lipo? Miaka ya 90 lilikuwa gazeti la Mfanyakazi lilikuwa linatoka week end lili hit balaa
 
Stupid comment from you,hii ni debate imeletwa hapa ili tujadiliane, sio lazima tukubaliane kila kitu, na on top of that kuna projects nyingi mno ambazo zimefanyiwa uhakiki na still zimeshindwa, sielewi magazeti 10,000 ya @shs.1000, yakimbizwe kwenda Kanda ya nyanda za juu kwa gharama kubwa na yalete profit 📈
Hakuna debate hapa,kuna taarifa ya ajali. Debate mumeanzisha nyie waswahili.
 
Ufumbuzi ni kuwa na printing Center katika kila kanda au kila mkoa ili iwe rahisi kusambaza hayo magaazeti kwa muda mfupi na kwa gharama ndogo..
Gharama za kulipa wafanyakazi wengi zaidi zitaongezeka.nguvukazi walinayo kwa sasa eneo moja inatosha kutoa magazeti ya kusambaza nchi nzima na kuwalipa na faida kama kawaida ikaonekana.ila sasa wakiongeza kila mkoa itakuaje?
Au labda wapunguze huku wawapeleke huko..na vitendea kazi je?ukute Ni gharama kubwa.
 
Hizi gari ni msala sana kuzipanda

R.I.p
 
Back
Top Bottom