DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,418
Nadhani ni kujenga viwanda vya kudurufu/photocopy. mfano arusha, lindi, mwanza na mbeyaItafutwe namna nyingine ya kusafirisha magazeti
Inatokea! Kamwa ni mwangaikaji utaelewa why. Inafika sehem, unatakiwa uwai ishu na akuna Gari husika muda huo, inakuwa no optional. Mfano Jana nilikuwa natakiwa Morogoro haraka na nipo Dodoma, na Bus zimejaa zote za kuja Dar/Moro....Bado Wanafunzi wanarudi Mashuleni ( wazazi wengi waliama Dar na Kwengineko kuja kikazi Dodoma) na Watoto wao walikuwa likizo huku.Kama wewe ungefanyaje ili uwai??Unadhani wenyewe hawapendi kutumia ndege mkuu tatizo ni gharama hawatapata faida.shida ni sisi wenye viherehere utapandaje gari ya magazeti?
madereva wa aya magari wanakuwaga na uraia pacha mmoja wa duniani na mwingine wa akhera ukipanda gari lao ukisema ulalamike umwambie dereva punguza speed anakuajibu mimi sijabeba watu nimebeba magazeti tu![]()



hii ajali nimeiona kulikuwa na roli limehalibika yeye hakuona akaingia nyuma lakini ni bahati mbaya kwakuwa ni kwenye kona na si mkata ni karibu na michungwaniGari aina ya Toyota Hiace lililokuwa likisafirisha magazeti toka Dar es Salaam kwenda Arusha limepata ajali usiku wa kuamkia Leo eneo Mkata mkoani Tanga. Dereva wa gari hilo na mtu mwingine wanasadikika kupoteza maisha.
View attachment 2348734
Hizi mashine dah!
Wawe na printing station au unit nje mikoa ya karibu kwaajiri ya kanda maalumu ili kusaidia wasitumie nguvu kukimbizana na muda kupeleka magazeti.Pole mno kwa wote walioguswa na ajali hii, ninajuuliza dunia ya sasa faida ipo wapi kwa wasafirishaji wa magazeti haya na wachapishaji? Let's say unapeleka nakala 10,000 za magazeti kanda ya kati, mbona gharama ni kubwa mno kuliko faida na huna uhakika kama nakala zote zitanunuliwa, ni wakati wa kuja na ufumbuzi mwingine hapa.
Kutumia ndege za ATC kwa ajili ya magazeti tu ni hasara kubwa mno pia kumbuka haziendi kila siku.Ingekuwa sawa kama siku hiyo kungekuwa na route ya kwenda huko.Agreed au watumie ndege za ATC
Safi sana mkuu na hii sio 🚀 scienceWawe na printing station au unit nje mikoa ya karibu kwaajiri ya kanda maalumu ili kusaidia wasitumie nguvu kukimbizana na muda kupeleka magazeti.
Unatuma soft copy kwenye printing unit mashine zinaanza kuprint magazeti usiku asubuhi mzigo upo hapo nje hausafarishwi zaidi ya KM 200 ni hapo mtaa wa pili tu mzigo unapelekwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ndege zote zinasafiri usiku.Cessina ni ndogo inasafiri mchana tu.usiku inaweza gonga mlima maana inasafiri chini chini.Bado. Awajaipata ingine- ilikuwa ya mtu binafsi alikuwa anaikodisha kwa makampuni ya magazeti. kuna aja Serikali ikaingilia kati hili maana kila Mara hizi gari zinapoteza watuMfano makampuni ya magazeti yakapewa mkopo wakanunua ata Cessina ya 300 millions ikawa inasambaza magazeti toka saa nne usiku mpaka ikifika alfajiri inarudi Dar
Cessina ?Bado. Awajaipata ingine- ilikuwa ya mtu binafsi alikuwa anaikodisha kwa makampuni ya magazeti. kuna aja Serikali ikaingilia kati hili maana kila Mara hizi gari zinapoteza watu 😭 Mfano makampuni ya magazeti yakapewa mkopo wakanunua ata Cessina ya 300 millions ikawa inasambaza magazeti toka saa nne usiku mpaka ikifika alfajiri inarudi Dar
Yes ajali hii kwa maelezo yako ni pure human being error, ni muhimu mno kwa gari yeyote kuwa na warning triangles, why lorry lililoharibika hawakuweka hizi triangles mbele na nyuma ya lorry lililoharibika?,halafu huu mchezo wa old stone age wa kuweka matawi na nyasi utaisha lini?,dereva wa hiace why hakupunguza mwendo na ku apply simple physics kwenye hii blind corner?hii ajali nimeiona kulikuwa na roli limehalibika yeye hakuona akaingia nyuma lakini ni bahati mbaya kwakuwa ni kwenye kona na si mkata ni karibu na michungwani
Gari aina ya Toyota Hiace lililokuwa likisafirisha magazeti toka Dar es Salaam kwenda Arusha limepata ajali usiku wa kuamkia Leo eneo Mkata mkoani Tanga. Dereva wa gari hilo na mtu mwingine wanasadikika kupoteza maisha.
View attachment 2348734
Hizi mashine dah!
KweliNilishawahi kupanda hii gari...
Kuna siku nilipanda hizo gari aisee niliapa sipandi tenaUnatakiwa kupanda hayo ukiwa huna ndugu, mke au watoto wanaokutegemea.
Pole nyingi kwa wafiwa na majeruhi.
Hizi zikichomoka zimechomokaGari aina ya Toyota Hiace lililokuwa likisafirisha magazeti toka Dar es Salaam kwenda Arusha limepata ajali usiku wa kuamkia Leo eneo Mkata mkoani Tanga. Dereva wa gari hilo na mtu mwingine wanasadikika kupoteza maisha.
View attachment 2348734
Hizi mashine dah!