Juzi nilinunua maziwa ya Tanga fresh ya pakti.., nilipoyaonja nilishtuka mno..!! Yaani ladha yake ni kama maji ya kisima.., hayana taste kabisaaaa!! Na hakika kwa waliowahi kununua najua mnaelewa ninachosema. Hivi huko kiwandani hakuna watu wanao yaonja kabla ya kuingiza sokoni??! Matokeo yake tunaishia kununua maziwa toka kenya, uchumi wetu utakuwa kwa staili hii?!!
Yalikuwa hayaja expire.., na hii ni mara ya pili.., hata mara ya kwanza yalikuwa hivi hivi.., nikafikiri watakuwa wame improve..lakini wapi.., em' kunyweni brooklyn afu ndio mje kuongea hapa..
Yalikuwa hayaja expire.., na hii ni mara ya pili.., hata mara ya kwanza yalikuwa hivi hivi.., nikafikiri watakuwa wame improve..lakini wapi.., em' kunyweni brooklyn afu ndio mje kuongea hapa..
Utumwa kazi sana yanaitwaje hayo maziwa ulitumwa kuyatangaza!!!????
Inawezekana ndo kilichomleta hapa. Bora tumemstukia mapema ndugu yangu