Tanesko na kibatari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesko na kibatari

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KEDIAY-MANGUSHA, Jul 12, 2011.

 1. K

  KEDIAY-MANGUSHA Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Basi leo usiku umeme wamekata. Muda wa kula hakuna taa, ikabidi tutumie kibatari. Sister akawa ameshika kibatari kama vile anakibusu wakati tunasali(kubariki chakula) kumbe amevaa kofia bwana. Katikati ya sala dogo akapiga makelele 'dada unaunguaaaaa kofia aaa.watu wote tukafumbua macho kwa mshtuko, hata aliyekuwa anasalisha sala. Yaani huwezi amini kofia imeunguzwa na kibatari bwana. Shukrani kwa tanesko.
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Poleni. Lakini vipi dada yako anakaa mezani kula akiwa na kofia kichwani? Mpo Afrika? Nijuavyo hata wazungu hutoa kofia wakati wa maakuli. Ndizo table manners.
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  shukrani kwa dogo.
   
Loading...