TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima

Huko Kwenu majanga, wekeni tayari bajeti ya Kununua Jenereta.

Huku niliko sijawahi kuona umeme umekata na ni mwaka wa 32 sasa
Ila nawasemea walioko huko nyumbani
Kweli humu wapo wengine wanaishi Kabul wengine Seoul na hata Santiago
Sio wote tuko huko
 
JPM Baba endelea kupumzika kwa Amani.

Baba tulipolia na kukutandikia nguo njiani tulijua kifuatacho ni kigumu kuliko kilichopita.

R.I.P JPM


#Ikiuumamezawembe
#Povufuliamitamboyatanesco
 
Back
Top Bottom