TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima

Ukitaka kujua vizuri havidumu
Baba wa taifa hayupo
Mkapa hayupo
JPM hayupo

Ila Sasa waswahili wazee wakucheka cheka ndo hata wapo wanasherekea tu besidei kunakipindi JPM alikuwa yupo ziarani analetewa kesi hadi za ndoa na anasuluhisha what a man nikasema huyu mzee kalink na jamii kabsa na ataacha regacy binafsi ukitaka umjue magu alikuwa Nani nenda kwa wananchi wa chini achana na wezi wajanja wa town na wazee wa connections
 
Ndo atufanyie huu uthenge !? Au kisa kwake kuna standby generator na line ya ikulu hainaga mgao.
Vumilia tu mkuu greenwoods, kuanzia february 1 mpaka 10 siku tisa. Isiwe ni siku tisa za kisiasa wakaziongeza.

Tangu kifo cha JPM tunachukuliana poa sana, ndio unagundua kuwa hayati alikuwa ni kiongozi thabiti mwenye msimamo usioyumba.
 
Kwa mujibu wa MD wa Tanesco mh Maharage Chande ni kwamba mgao wa siku 10 uliotangazwa hautahusisha nchi nzima.

Mgao huo unasababisha na ujenzi wa kituo cha umeme wa gesi Kinyerezi two ambacho kikikamilika kitasaidia sana kutokuwapo kwa mgao maji yatakapongua kwenye vyanzo vya umeme, amesema.

Source: ITV habari!

Maendeleo hayana vyama!
 
Kill him, not let him live
Kill him not, let him live

This is the power of comma. But who is comma? SSH
 
Hicho kikikamilika tutaongeza megawatts ngapi kwenye Grid ?, Na hio Gesi tunayotumia itakuwa ni ya kwetu au tutakuwa tunainunua ili ndio tuitumie ? TANESCO

Hii habari inaweza kuwa njema ila habari zote zinazoonekana njema sometimes sio Njema kivile.....; Ila kama ni siku kumi alafu tunaongeza mzigo wa ma-Megawatt itakuwa jambo jema ila kama ni routine maintenance ambayo inaturudisha kule kule, itakuwa sio poa kabisa...
 
And you believe, Tangazo lilisema nchi nzima, na kweli kujenga mtambo kunasababisheje mgao.
Uzuri ni kwamba, hili group lililoingia madarakan lilishawahi kuwepo kabla na uongo uongo kama huu ilikuwa no kawaida yao. Kwa hiyo watanzania wanawajua vizuri na wala hawadanganyiki tena lakin hawana cha kuwafanya. Wao waendelee tu na mipango yao ya kumiliki kila kitu cha nchi hii.
 
Back
Top Bottom