Tanesco yatangaza mgawo; kuanza mara moja!

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,163
Utakuwa ni saa nane kila siku zinatazogawanywa katika vipindi viwili vya saa nne nne kila kimoja. Yaani, kama ni zamu yenu ya kukosa umeme, mtakosa asubuhi kwa saa nne, na jioni kwa saa nne.
Mgawo unaanza mara moja.
tanesco wanasema mgawo unatokana na kuharibika ghafla kwa mitambo miwili ya Songas.
I hope it is not part of concerted efforts to 'force' the buying of Dowans turbines
 
Last edited by a moderator:

...wizi mtupu
kama wamesema ni saa nne ktk siku ya mgao in real sense piga hesabu ya 4 x 4 - 24 utapata 8 ambapo mtakuwa mnapata umeme kwa saa 8 kwa siku.
Si mlikataa kuwa dowans isinunuliwe? safari hii mtaandamana kwa shinikizo kwamba inunuliwe.
Nchi hii kwa uzalendo wa kifisadi naivulia kofia.
 
hakuna evidence ya kuharibika kwa mitambo ya songas, huu ndo msimu wake babake wa kukatwa umeme. wasitufanye wajinga.
au hii ni tetesi?
lete source mkuu.
 
mmh, mgao gani wa ghafla hivyo? labda wanataka wabongo tuandamane ili Dowans inunuliwe? lakini ni kweli wamekuwa wakikata umeme katika wiki hii moja hovyohovyo.... sijui kama Songas imeharibika, labda ndo maana wanakimbilia kununua Dowans? This is really intriguing maana walishindwa kusema mvua hainyeshi sasa wanasingizia mitambo....
Let's wait and see...
 
hakuna evidence ya kuharibika kwa mitambo ya songas, huu ndo msimu wake babake wa kukatwa umeme. wasitufanye wajinga.
au hii ni tetesi?
lete source mkuu.

I have ni my possession a Tanesco Statement announcing the mgawo
 
Nyie hamtaki.. nilisema Mwezi wa nne watu wakaja juu utadhani nini! Nimesema majenereta yatanunuliwa mtake msitake kwani kuna watu wanadaiwa na lazima walipe milioni 60 si mchezo.. watu hawataki. Na mkigoma mtanyimwa umeme masaa 12 hadi mpige magoti na kukubali kuvunjwa!

Msiwe na shaka.. kesho na Ijumaa nadhani moto wa mapambano unazidi kuwashwa! Maneno ya Mzee Malecela leo yatakuwa yameangukia kwenye sikio lisilosikia! Kama mnataka ile kongwa ya mafisadi ivunjwe ni kuendelea kusimama imara kuipinga Dowans; Kama mmewahi kusikia kuwa nchi imetekwa nyara.. basi ndiyo hivyo.. je mtafanya nini kuigomboa?

Leo wanataka mnunue Dowans.. ili wawape umeme kesho watataka mfanye nini? !!

NO DOWANS, NOT BOWING DOWN!
 
Bora turudi ktk vibatari na chemli tujipange upya.
ikinunuliwa hiyo midowans patakuwa hapatoshi hapa
 
Mi naomba kutoa ushauri, tuanze mapema kujizaititi na mgawo huu , tununue mishumaa na vibatari na wenye uwezo wanunue jenereta, tukae tukisubiri Dowans washindwe na walegee!
Mi nachoka na nchi hii maana utafikiri hatuna viongozi na hatuna rais! 2 weeks ago the DG of Tanesco thereatened us, hakuna kilichofanyika, now Tanesco is coming through with its threat na bado kimya.....
 
Huo mgawo ni nchi nzima?

Hapana, ni dar es Salaam tu. Mitambo ya Songas iliyoleta matatizo inatumika kuzalisha umeme kwa ajili ya Dar na Zanzibar, hivyo sehemu nyingine za nchi hazitaathirika. Hata hivyo, tanesco hawajasema iwapo Zanzibar nayo itaathirika. Kwa kawaida dar na Zenji zinatumia kama megawati 370 hivi, zilizokosekana kutokana na kuharibika kwa mashine hizo ni megawati 53.
 
Shauri lao, waheshimiwa wabunge karibia wanafunga virago na kuhamia Dodoma hivyo hawataathirika na mgawo! Wacha wajanja wa Dar tunaopenda kupiga siasa tuteswe... Mzee Mwanakijiji una taarifa gani kuhusu hili?
 
Mi naomba kutoa ushauri, tuanze mapema kujizaititi na mgawo huu , tununue mishumaa na vibatari na wenye uwezo wanunue jenereta, tukae tukisubiri Dowans washindwe na walegee!

Tukiamua tunaweza... people's power
 
Heheheheee....yaani matatizo yaleyale miaka nenda rudi....umeona wapi hii?

Halafu Mwanakijiji alionya kuhusu hili acha watu wamrukie utadhani mwizi...
 
This Idris Rashid person should go. How do they measure his perfomance, anyway? He is a total FAILURE.
 
hakuna evidence ya kuharibika kwa mitambo ya songas, huu ndo msimu wake babake wa kukatwa umeme. wasitufanye wajinga.
au hii ni tetesi?
lete source mkuu.

Cha kushangaza ni kwamba Ngeleja alishatoa kauli kwamba hakutakuwa na mgao, Sasa kulikoni? Ngeleja anajikanyagakanyaga kila siku na kauli ambazo hazina ukweli wowote pamoja na hayo Mkuu wake wa kazi anamwacha aendelee kupeta tu!! Kazi kweli kweli. Dar maji shida sasa na umeme hakuna :(
Kazi kweli kweli!!! na haya matatizo yasiyokwisha miaka nenda miaka rudi.
 
Back
Top Bottom