Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,570
- 188,777
- Thread starter
- #21
Kama Unavyojua Taifa Letu Lina Ugonjwa Wa Kupika Data.Maeneo ni mengi zaidi ya hayo uliyotaja, huku mbezi beach, goba, salasala kote hakukuwa na umeme.
Hao wapuuzi tumeshawazoea ukiona mvua tu jiandae na solar lamp au torch karibu if not chemli kwa wenzetu wasiotaka kubadilika.
Kama ni kitu ambacho kitaumbua serikali katika utendaji wake wa kazi basi idadi upunguzwa.
Kama ni jambo linaleta mapambio kwa serikali kwa kusifia utapewa takwimu ambazo si sahihi bali kwa idadi kubwa.
Mfano: Kumbuka idadi ya walienda kuchanja, takwimu za watu waliopata ajali za kivuko mwanza n.k