Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,570
- 188,777
- Thread starter
- #61
Sawa Na Ugonjwa Wa Moyo Muda Wote Hali Unabadilika.Kufanya bihashara inayoitaji umeme ninkuhatarisha mtaji wako
Makambako home
Sawa Na Ugonjwa Wa Moyo Muda Wote Hali Unabadilika.Kufanya bihashara inayoitaji umeme ninkuhatarisha mtaji wako
Makambako home
Siku Hizi Wanasema Umeleta Taharuki Kwa Wananchi Hivyo Basi Unaambiwa Jitafakari Kabla Watajakutafari Kufanya Maamuzi.Hili la kupimana mkojo lilikuwa linachekesha sana na ghafla limeacha kusikika!
Siku hizi ukituhumiwa uchochezi, unapimwa nini sijui!
Mamalai upo chugastan. Tuchekiane basi tunaeza juana mamlideKwahiyo sie wa chuga sio watanzania
Wakwende hukoHabari,
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa Wa Kinondoni Kusini limewaomba radhi wateja wake wanaotumia laini za umeme kwa kukosa huduma ya umeme muda huu.
"Maeneo yaliyoathirika ni Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Sinza, Ubungo,Bonyokwa, Kimara Baruti, Korogwe, King'ongo, Kimara Mwisho, Suca,Kwembe, Temboni,Maeneo ya Mbezi, Maeneo ya Kibamba, Makabe, Msumi, Msakuzi, Mpigi mageo, Malamba mwili, Kingazi, Makongo, Saranga, Changanyikeni, Chuo Kikuu na Mandela Road"
"Wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kuweza kuhakikisha hali ya huduma ya umeme inarejea kwa wakati, Ndugu wapendwa wateja wetu, tunaomba uvumilivu wenu katika kipindi hiki cha kukosekana kwa huduma, Shirika linaomba sana radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza katika kipindi mnachokosa huduma ya umeme"
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu.
Boss Punguza Jaziba Ndio Nchi Yako Taratibu Taratibu Tutafika.
Umeme unakata unarud..toka jana.hapa kwenyew hakuna umeme...nna generator naonaa uvivu kuliwasha sabab wanarudisha wanakata....wa Tz sis ni misukule aisee...Boss Punguza Jaziba Ndio Nchi Yako Taratibu Taratibu Tutafika.
Tunaweza sana kushabikia Simba na Yanga.Umeme unakata unarud..toka jana.hapa kwenyew hakuna umeme...nna generator naonaa uvivu kuliwasha sabab wanarudisha wanakata....wa Tz sis ni misukule aisee...
Sent using Jamii Forums mobile app