Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,596
- 45,225
Aaahg we aasubuuutu,,🤪🤪Ni swala la muda tu! Kutoa hela from 1,200 mpaka 5,900
Aaahg we aasubuuutu,,🤪🤪Ni swala la muda tu! Kutoa hela from 1,200 mpaka 5,900
mwaka wa fedha unaanza mwezi wa saba kwa iyo wanakata kodi ya nyumba ya mwezi wa saba 1000 na wanane 1000 jumla 2000 hlf kuanzia wa tisa wanakata 1000 kila mweziMimi nimetest kununua wa 5,000/=, wamekata 2,000/=, wameandika tu Debt collected, sijaelewa inakuwaje, maana tumeambiwa ni 1,000/= kwa mwezi
Kumbe hata wana CCM mnakatwa? Hiyo siyo vizuri. Hawajui kuwa nyie ndio wafia chama?
Bora wewe mimi nimetest nimekatwa umebaki 0.5KWHKwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH
0029 2493 0496 3524 7260
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
Bank zikianza huo ujinga zitafilisika moja baada ya nyingine wazir nae wa tozo anafurah mapato yaliyopatikan bila kujua watu wengi wametoa pesa zao zilizokuwepo kabla ya tozo hivyo mapato yapatikane mengi ngoja tusubiri wiki nne zijazoUkistaajabu ya Tanesco utayaona ya NMB
Sijaona tozo kwangu...hapa Sina TarrifKwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH
0029 2493 0496 3524 7260
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
siku ya kwanza huwa inauma, baada ya hapo ni utelezi tuWanasema kawaida siku ya kwanza huwa inauma ila utazoea tu
Dah mkuu unabata sana wengine tulio kwenye hizo tarrif zao ndo tunahangaika.Sijaona tozo kwangu...hapa Sina Tarrif
Name:TANESCO
MeterNo:3720896****
Receipt: 9900621344102423434
Units: 8.5
Token: 2217 2568 0380 8543 1342
Amount:TSh 2459.02
Tax: VAT 18% TSH 442.62 EWURA 1% TSH 24.59 REA 3% TSH 73.77 Total Tsh 3000.
Ref: EC101015626777
mateso bila chuki.Dah mkuu unabata sana wengine tulio kwenye hizo tarrif zao ndo tunahangaika.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH
0029 2493 0496 3524 7260
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00