Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,985
- 93,995
Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH
0029 2493 0496 3524 7260
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
Ina maana hapo aliyenunua, kapata umeme wa jero au?