Spiritual Man
Member
- Apr 26, 2021
- 5
- 6
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nikiwa kama muwakilishi wa wanakijiji wenzangu wenye uchungu,majonzi na masikitiko.Moja kwa moja nafikisha malalamiko kwenu shirika letu la umeme Tanzania TANESCO juu ya RUSHWA kubwa iliyotawala katika usimamizi wa mradi wa umeme wa rea katika kijiji cha ZIÑGIBARI,kitongoji cha ZIÑGIBARI wilaya ya MKINGA kata ya MOA mkoa wa TANGA.
Hawa wasimamizi hili wakuunganishie umeme lazima wakutoze pesa nyingi ambazo si rasmi ndio ufungiwe umeme
Baada ya MRADI kukamilika wengine walitozwa 150,000 inaitwa ya soda
Wengine 70,000
Wengine 40000
Ukishalipa hizo yule anayekuja kukufungia mita anataka 10,000 tena,kuna mmoja alikataa kulipa hiyo elfu kumi huyu mtanesco kakasirika na kuondoka na mita.
Sasa awamu hii
Tumeshakamilisha kila kitu na surveyor akafika kalamba 15,000 kila nyumba akafanya kazi yake.
Baada ya hapo Tumefanya malipo yote halali 27,000 Tsh. na kupatiwa risiti na tukajulishwa tusubiri kuja kufungiwa mita
Muda mrefu umepita bila taarifa yoyote na hatimaye tumeletewa taarifa kila anayehitaji apate umeme basi atoe 70,000
Ukitoa leo ukiwapa kesho anakuja anakufungia mita hata kama uko pekee yako.(juzi mwenzetu mmoja alifungiwa pekee yake likaachwa kundi zima)
Na sasa wanatisha kwa kusema muda wowote wanakabidhi MRADI kwa TANESCO na sisi ambao hatujafungiwa ndio basi imekula kwetu.
JE, HIVI NDIVYO MLIVYOWATUMA HAO MLIOWAKABIDHI MRADI HUU WATUFANYIE?
Kama sivyo muwashughulikie haraka kwani wanalitia doa Shirika letu,
Mwanakijiji Mtiifu
Kitongoji cha ZIÑGIBARI
Kata ya MOA
Wilaya ya Mkinga