TANESCO mtusaidie kijiji hiki wasimamizi mradi wa REA wanatuibia sana

Rushwa kwa tanesco bado tatizo sana, mama wanamkwamisha sana imajini garama za umeme zimepunguzwa kwa makusudi kabisa hili kila mwananchi apate mwanga sasa wanatokea wauni wachache wanaleta tamaa sijui kama tutafika kwa staili hii
Tafadhali tusaidie taarifa kwa siri tatizo ni nini? Namba ya simu na Wilaya husika kwa hatua zaidi
 
Back
Top Bottom