Tabia ya viongozi wetu kudanganya kila kitu ni hatari sana,wakati ngereja anateuliwa uwaziri wa nishati na madini alisema,mgao wa umeme itakuwa ni ngonjera,lakini muda si mrefu mgao ukaendelea,akaingia tena Muhongo naye akasema mgao wa umeme itakuwa ni historia lakini hadi leo historia hatuioni zaidi ya kushuhudia umeme kukatika,sasa hii nchi kwa nini inaongozwa kwa uongo uongo hivi?nadhani njia mbadala ni kuitoa ccm madarakani mana wameshindwa na hatuna jinsi zaidi ya kuwapumzisha basi
Arusha kuna umeme wewe mkazi wa Arusha ipi?
Arusha kuna umeme wewe mkazi wa Arusha ipi?
Arusha kuna umeme wewe mkazi wa Arusha ipi?
arusha hakuna umeme kuna baadhi ya sehemu unakatwa usiku kucha karibu kila sikuJingalao unakurupuka tu....unafikiri kila kitu ni Siasa.
Arusha hamna umeme