TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

ukanda wa morogoro ni giza sasa 22:36pm kutwa nzima ulikatwa ukarejeshwa 05:56pm na kukatwa tena saa 07:32pm
 
Mbeya hatuujui umeme mchana na shughuli zinalala,CCM na tanesco jinga kabisa
 
Back
Top Bottom