TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

Kama mwananchi, ninaomba tupatiwe huduma ya umeme. Tupeni ukweli msitoe ahadi za kisiasa, mgao unaisha lini? Mliahidi tarehe 20, mpaka sasa bado Watanzania tupo gizani. Kwa nchi yenye uwajibikaji inapaswa Waziri wa nishati na mkurugenzi wa TANESCO mjiuzulu.
 
Uko mkoa gani mwenzetu, manake kwetu hadi nimeshasahau kama kulikuwa na shida ya umeme
 
Tangu Jana saa 3 asubuhi walikata umeme ukarudi usiku was manane na wakaukata tena Leo SAA 2 asubh. Kweli baadhi ya maeneo Arusha twateseka. Jamani huko VP?
 
Hamfikii mbeya ndugu yangu, mpka tunampango wakwenda kutembeza bakora tanesco nzima
 
Wapi ni nafuu ikiwa mini muhim haina umeme? Watu wanashindwa kufanya kaz kwa kukosa umeme nhi itaendelea je?
 
naichukia ccm, tena umeme unavyokatika hovyo ndo unazidi kunipa hasira wa kukchinjilia ccm mbal j2
 
Eti wanasema utaisoma namba muwe gizani msiwe wao ni mbele kwa mbele mie najiuliza wao wameuacha wananchi nyuma wameng'ang'ania mbele kwa mbele
 
Mnapotaja chama hicho mnaniharibia siku jamani cjui kwanin nakichukia HV!
 
nipo maeneo ya mipango huku, toka saa 12 jioni hadi sasa umeme haupo. naamini hili tatizo la mgao wa umeme lipo ndani ya uwezo wa serikali, kama kweli itadhamiria kuondoa aibu hii ya zaidi ya miaka 54. naamini maeneo ya kanda ya kati kuna nishati kubwa sana ya jua, kama kungekua na proper utilisation ya nishati hii tusingetegemea maji.

my thoughts,my belief
 
Back
Top Bottom