TANESCO: Matatizo ya Umeme kutengemaa ifikapo Februari 2023

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,395
8,166
ITIHADA ZILIZOFANYIKA ZA KUKABILIANA NA HALIYA UPUNGUFU WA UMEME

Mnamo siku ya Jumatano, tarehe 23 Novemba 2022. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya hali ya upungufu wa umeme pamoja na kueleza jitihada za muda mfupi, wa kati na mrefu zilizopangwa kuchukuliwa iii kukabiliana na kadhia hii.

Leo Jumatatu, 28 Novemba 2022, Shirika linatoa taarifa ya jitihada za muda mfupi na za muda wa kati izilizochukuliwa katika kukabiliana na changamoto ya upungufu wa umeme kama ifuuatavyo;

JITIHADA ZA MUDA MFUPI ZILIZOFANYIKA
Zifutazo ni jitihada za muda mfupi zilizofanyika ili kuingiza jumla ya megawati 90.

Tayari tumeshakamilisha matengenezo ya mtambo mmoja wa LM6000 katika kituo cha Ubungo namba Ill. Aidha tayari mtambo huu umeshaanza kuingiza megawati 35 za umeme katika Gridi ya Taifa kuanzia tarehe 25 Novemba 2022 kama tulivyoeleza hapo awali;

Malengenezo ya mtambo mmoja wa kituo cha Kidatu yapo katika hatua za mwisho kukamilika. Na tunatarajia mtambo huu utaanza kuingiza megawati 50 za umeme katika Gridi ya Taira ifikapo tarehe 30 Novemba 2022 kama tulivyoeleza hapo awali;

Matengenezo katika kituo cha Kinyerezi namba II yamekamilika na kituo kinazalisha umeme katika na uwezo wake.

Majaribio ya mitambo miwili katika kituo cha upanuzi cha Kinyerezi namba I yanaendelea. na kwa sasa mitambo hii inaingiza jumla ya megawati 65 za umeme katika Gridi ya Taifa. Na tunategemea hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Disemba 2022, mitambo hii itakuwa inazalisha jumla ya megawati 90 kama tulivyoeleza hapo awali:

Bado tunaendelea na kazi za matengenezo ya mitambo miwili ya Ubungo namba Ill ambapo baada ya kukamilika mwishoni mwa Disemba 2022, itazalisha jumla ya megawati 40 za umeme.

JITIHADA ZA MUDA WA KATI ZILIZOFANYIKA
Tunategemea mitambo mingine miwili kuanza kufanya kazi katika kituo cha upanuzi cha Kinyerezi namba I kuanzia mwezi Februari 2023 iikuingiza megawali 90 za umeme katika Gridi ya Taira.

lwapo mvua zitaendelea kunyesha katika mabwawa yote ya kufua umeme na matengenezo yaliyobakia kukamiika kama yalivyopangwa, tunategemea hali ya umeme itaendelea kuimarika na hivyo tunatarajia kiasi cha upungufu wa umeme kwa siku kuendelea kupungua kutoka wastani wa kati ya megawati 300 hadi 350 wiki iliyopita hadi kufikia megawati 100 za umeme wiki hii.

Wakati kazi zote hizi zikiendelea kufanyika, Shirika litaendelea kutoa taarira ya hali ya umeme na ratiba ya upungufu wa umeme kadri inavyozidi kuimarika kupitia kutoa taarifa kwa vyombo vya habari, mikutano na waandishi wa habari, mikutano na wadau katika mitandao (twitter spaces na club house), tovuti yetu ya www.tanesco.co.tz, kwenye magroup ya whatsapp ya wateja, magazeti na kwa kuwatumia ujumbe mlupiwa maneno (SMS) wateja welu.

1669662353055.png
 
Yule boss wao Anapenda camera kuliko kazi kila bango ni yeye wala hajali chochote.
 
Hizi ngonjera zenu tumezichoka, muwe na aibu kidogo, yaani mbembele toka kipindi cha Ex Waziri Ngereja, hadi akapachikwa jina la Mr Megawatt.
 
Aisee inasikitisha. Yaani hata aibu hawana. Wametufanya watoto wadogo. Clearly walisema tatizo ni ukame sasa wanakuja na stories nyingine. Initially hasira sana. Yaani, ninamchukia huyu waziri wa sasa Mungu anajua. Kwa wakati wake Mungu atamuondoa tu awake mtu mwingine responsible.
 
Juzibwaziri alisema tunaziada ya megawat kibao kwenye mkutano, sahv wanalalama nn
 
Kwahiyo hii mitambo ni jambo geni kwao? Kwanini wasibiri upungufu ndio waanze upanuzi?
Ili waweze ku justfy gharama kubwa ya matengenezo ya Emergence bila maswali, utaskia kupata mkandarasi within such a short time ni ngumu na very expensive.

Kwa hali ilipofikia, kelele za wanainchi na hasira zao, mama akiambiwa gharama za matengenezo ya Emergence ht yakiwa makubwa kiasi gani atambidi tu kutoa kutuliza mambo bila kujua wenzake wamemset up.

Kwa Mama it's abt her people na zaidi ku protect image yake inayoporomoka ka kasi huku ikiwekwa kwenye mizania ya mtangilizi wake, while kwa Kipara na genge lake its abt kutumia every oppotunity to make more.

Hakuna justfication yoyote unaweza kumwambia mtu smart akakuelewa kua mitambo yote hio imeharibika kwa wakati mmoja na haikuharibika within 6yrs iliyopita.
 
Kweli aisee..., kwamba muda wote huo hii mitambo ilishindwa kutengenezwa ili ikae standby?!
 
ITIHADA ZILIZOFANYIKA ZA KUKABILIANA NA HALIYA UPUNGUFU WA UMEME

Mnamo siku ya Jumatano, tarehe 23 Novemba 2022. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya hali ya upungufu wa umeme pamoja na kueleza jitihada za muda mfupi, wa kati na mrefu zilizopangwa kuchukuliwa iii kukabiliana na kadhia hii.

Leo Jumatatu, 28 Novemba 2022, Shirika linatoa taarifa ya jitihada za muda mfupi na za muda wa kati izilizochukuliwa katika kukabiliana na changamoto ya upungufu wa umeme kama ifuuatavyo;

JITIHADA ZA MUDA MFUPI ZILIZOFANYIKA
Zifutazo ni jitihada za muda mfupi zilizofanyika ili kuingiza jumla ya megawati 90.

Tayari tumeshakamilisha matengenezo ya mtambo mmoja wa LM6000 katika kituo cha Ubungo namba Ill. Aidha tayari mtambo huu umeshaanza kuingiza megawati 35 za umeme katika Gridi ya Taifa kuanzia tarehe 25 Novemba 2022 kama tulivyoeleza hapo awali;

Malengenezo ya mtambo mmoja wa kituo cha Kidatu yapo katika hatua za mwisho kukamilika. Na tunatarajia mtambo huu utaanza kuingiza megawati 50 za umeme katika Gridi ya Taira ifikapo tarehe 30 Novemba 2022 kama tulivyoeleza hapo awali;

Matengenezo katika kituo cha Kinyerezi namba II yamekamilika na kituo kinazalisha umeme katika na uwezo wake.

Majaribio ya mitambo miwili katika kituo cha upanuzi cha Kinyerezi namba I yanaendelea. na kwa sasa mitambo hii inaingiza jumla ya megawati 65 za umeme katika Gridi ya Taifa. Na tunategemea hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Disemba 2022, mitambo hii itakuwa inazalisha jumla ya megawati 90 kama tulivyoeleza hapo awali:

Bado tunaendelea na kazi za matengenezo ya mitambo miwili ya Ubungo namba Ill ambapo baada ya kukamilika mwishoni mwa Disemba 2022, itazalisha jumla ya megawati 40 za umeme.

JITIHADA ZA MUDA WA KATI ZILIZOFANYIKA
Tunategemea mitambo mingine miwili kuanza kufanya kazi katika kituo cha upanuzi cha Kinyerezi namba I kuanzia mwezi Februari 2023 iikuingiza megawali 90 za umeme katika Gridi ya Taira.

lwapo mvua zitaendelea kunyesha katika mabwawa yote ya kufua umeme na matengenezo yaliyobakia kukamiika kama yalivyopangwa, tunategemea hali ya umeme itaendelea kuimarika na hivyo tunatarajia kiasi cha upungufu wa umeme kwa siku kuendelea kupungua kutoka wastani wa kati ya megawati 300 hadi 350 wiki iliyopita hadi kufikia megawati 100 za umeme wiki hii.

Wakati kazi zote hizi zikiendelea kufanyika, Shirika litaendelea kutoa taarira ya hali ya umeme na ratiba ya upungufu wa umeme kadri inavyozidi kuimarika kupitia kutoa taarifa kwa vyombo vya habari, mikutano na waandishi wa habari, mikutano na wadau katika mitandao (twitter spaces na club house), tovuti yetu ya www.tanesco.co.tz, kwenye magroup ya whatsapp ya wateja, magazeti na kwa kuwatumia ujumbe mlupiwa maneno (SMS) wateja welu.

View attachment 2430141
Februari ndo hii sasa balaa limerudi upyaaaaaa
 
Back
Top Bottom