Nimefanya kazi kampuni moja ya mawasiliano, wapo wabongo, wanajua management vzr, ukiwapa tanesco litakua na faida, kama zilivyo, tigo,Vodacom, halotel, haya ni makmpuni binafsi, ttcl ya umma, IPO ICU! Tanesco ipewe sekta binafsi, kama ilivyo Kampuni ya sigsra, TTC, ukiwa muajiliwa sekta binafsi, ukifanya fuckups, ukaingiza hasara,ajira yako inakuwa mashakani, na utaadhibiwa vikali,serikalini, sheria inabidi ibadilishwe, iwe rahisi kutimua wasio na tija,