hehehehe umeona mzee hapo electons zilidunda kwenye kaburi hilo jeupe huyo mzee alyezikwa hapo ndo Ndundami wa enzi hizo naona hata Mtwa Mkwawa alikuwa haoni ndani kwa sayansi ya Kibongo.
Waulize TANESCO IRINGA kama wewe Tomaso angalia hapo kwenye picha nyaya zilivyo pita ilishindikana ikabidi wahamishe nyaya upande wa pili kuyakwepa makabuli hayo kisha wakarudisha tena upande mwingine
Au kama haamini, awaulize wajapani kwanini walishindwa kuuangusha ule mbuyu pale Mbuyuni Namanga.
Hujataka tu kuzipanda mamii.
Tatizo yale masharti unafikiri utayaweza,yani upande bila kuvaa nguo,sasa nitaingiaje ofisini.Na nauli yako hawahitaji kabisa.Ndio maana tunaitwa bara la giza.Ushetani umezidi hadi shetani mwenyewe anatushangaa.
Huoni raha kama sote tungekuwa tunatembea uchi? Mavazi tunaiga ya wazungu, si jadi yetu.
Hahahaha dah kutembea watupu teh teh teh wenye maumbile makubwa wangepata taabu kwenye foleni....
Mavazi hatuigi my dear,ila tulikuwa tunavaa staili yetu ya majani au ngozi,ni mitindo tu.Na hatukuiga kwa wazungu,ila Adamu alipokula tunda(sijui apple?) ndipo alipojiona uchi na akaamua kuanza kuvaa.Na sisi wanadamu wote ni watoto wa adamu.Huoni raha kama sote tungekuwa tunatembea uchi? Mavazi tunaiga ya wazungu, si jadi yetu.
Mavazi hatuigi my dear,ila tulikuwa tunavaa staili yetu ya majani au ngozi,ni mitindo tu.Na hatukuiga kwa wazungu,ila Adamu alipokula tunda(sijui apple?) ndipo alipojiona uchi na akaamua kuanza kuvaa.Na sisi wanadamu wote ni watoto wa adamu.
Usitafsiri tofauti,maandiko yalisema tunda,sio ile kitu.Ile kitu ilikuwepo toka kabla hawajala tunda,Mungu aliwaruhusu wafanye ndio maana aliwaambia wazae wakaongezeke.Unafikiri wangezaaje bila hiyo kitu?Kwa hiyo ilikuwa ni TUNDA.Hahaha Ziond umenifurahisha eti Sijui apple. Wakati unajua fika kabisa ilikuwa ile kitu yenyewe.
Usitafsiri tofauti,maandiko yalisema tunda,sio ile kitu.Ile kitu ilikuwepo toka kabla hawajala tunda,Mungu aliwaruhusu wafanye ndio maana aliwaambia wazae wakaongezeke.Unafikiri wangezaaje bila hiyo kitu?Kwa hiyo ilikuwa ni TUNDA.
Kwani ile kitu Siyo Tunda? Mbona inakuwa tamu namna hiyo? Na kama siyo tunda mbona baada ya kuila walifunika biology zao, siyo kwamba zilikuwa zimeloaloa wakaona nishai zikionwa na Mungu?
Chrispin unahitaji shule ya biblia.Nitamwambia Fidel80 akupe tuition maana Fidel kwa maombi humuwezi.
Hapo ndipo unapokosea mamii. Kwenye swala la mahubiri tuna mchungaji Masanilo, Katekista Geoff na Shemasi Chrispin. Fidel bado yuko kwenye mafundisho ya Kipaimara.
Yani humuamini mtumishi Fidel? we unafikiri huko kwenye makaburi ya hao anasema wachawi alienda kufanya nini? si kupiga maombi.au anazuga alikuwa kutambika na kudumisha mila za waafrika?
Fidel80 hana shida na mimi,tunaelewana na halitakuwa bifu.we muulize usikie atakavokujibuNgoja arudi toka lunch, atakujibu mwenyewe. Umeanzisha bifu na mpwa wangu. Omba radhi mapema au niPM tutete kidogo.
Kaburi la Martin Kiyeyeu eneo la Malolo kilomita 30 kutoka Iringa kuelekea Mbeya ni maarufu kwa kisa cha kweli pale mafundi wa umeme waliposhindwa kupitisha waya wa umeme juu ya kaburi hilo. Walipojaribu kufanya hivyo waya zilikatika. Ndio sababu unaweza kuona hapo mbele waya zimekatisha barabara! Haya kuna wataalamu wa kutupa ufafanuzi wa kisayansi?! Kwa hiyo sayansi ya nguvu ya Giza ina nguvu kuliko sayansi ya Mzungu?
Chrispin unahitaji shule ya biblia.Nitamwambia Fidel80 akupe tuition maana Fidel kwa maombi humuwezi.