Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 67,977
- 95,297
hehehehe umeona mzee hapo electons zilidunda kwenye kaburi hilo jeupe huyo mzee alyezikwa hapo ndo Ndundami wa enzi hizo naona hata Mtwa Mkwawa alikuwa haoni ndani kwa sayansi ya Kibongo.
Nimemkumbuka mkulumba Kinjekitile kwenye vita vya Majimaji. Wazungu walipata habari yao. Wangekuwepo enzi hizi, mafisadi wangepata habari yao.