Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,854
Ww sio yule tanesco wa tweter kweli?
Mie Natumia tecno T640kama unayotumia wewe hapo..
At least inatia moyo.Nimependa comfidence mlio nayo Kwa changamoto Zinazo likabili hili shirika na unatoka kifua mbele kukubali mijada juu ya hili shirika
nimenunua umeme wiki2 zilizopita kupitia tigo pesa mpaka leo hamjaniletea umeme
Sinza jirani na mlimani city hakuna umeme
Namba yako ya simu tafadhaliSinza jirani na mlimani city hakuna umeme
Mi nlikuwa nashauri mrudishe service charge,na iwe kwa nwezi mara mbiliKumbe mpo humu siku zote au sikukuu tu?