TANAPA yaanza Mchakato wa kuanzisha Cable Car Mlima Kilimanjaro

Curiosity killed the cat, na ndio majaribio yatakayozika utalii wa nje wa kupanda mlima. Usitegemee mzungu atoke Ulaya kuja kusafiri kwenye cable car. Its completely nonsense. Hizi akili za kichina zitafuta umuhimu wa mlima Kilimanjaro

Sio hilo tu uchafuzi wa mazingira kwa kuruhusu utatili wa wapanda mlima dezo utatugharimu

Nina imani huyo kibosile aliyependekeza mpango huo anatakiwa afukuzwe mapema iwezekanazo, ni hatari sana kuliko yule aliyeshindwa kula kiapo
Cable car inaongeza options sio kwamba hao wazungu watazuiliwa kupanda kwa miguu
 
Option isiyo na tija, hawatakodi wabeba mizigo, hawatakunywa kahawa inayotengenezwa na wenyeji, hawatalala kwenye vituo vya KINAPA, hawatalala kwenye hoteli na gesti zilizo kando ya mlima, hawatachukua mabinti walio kando ya mlima (Marangu Mtoni)! Hawatanunua sanaa zinazouzwa njiani, ukweli ni pesa nyingi sana zitakosekana kwa sababu ya kuiga tunavyoviona ulaya.
 
Kamishina msaidizi wa Uhifadhi wa TANAPA, ACC Paul Banga amesema General Management Plan(GMP) ambayo inahusisha Wadau wote wa Utalii, walipitisha mpango wa kuanzisha cable car katika Mlima Kilimanjaro ikiwa ni Mkakati wa kuongeza idadi ya Watalii nchini. Aliyasema hayo wakati wa Kikao cha Tanapa na Wahariri na Waandishi wa habari waandamizi Jiji Dodoma.

Banga amesema Cable car hiyo itaanzia karibu na Geti la Machame la kupandia Mlima Kilimanjaro na kuishia Uwanda wa Shira. Cable car itakuwa na Urefu wa mita 3,700 kati ya mita 5,895 za Mlima Kilimanjaro. Car cable haitafika kwenye Kilele cha Mlima Kilimanjaro

Amesema Kwa sasa Serikali bado inafanya Tathimini kuona kama Mradi Wauruhusu au Wasiuruhusu.

Kutoka na hofu ya watu wengi kupoteza ajira hasa wasaidizi wa wapanda Mlima, alifafanua kwamba kazi za kupanda mlima kwa mguu zitaendelea kama kawaida kilichoongezeka ni kumuwezesha Mtalii kiwa na Chaguo la Atumie Miguu au car cable.

Banga alisema anatumbua uwepo wa Walemavu na Wazee ambao wanatamani kupanda Mlima Kilimanjaro hivyo cable car itasaidia kutimiza ndoto zao.

Cable car ni gari linalotumia waya kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine bila kugusa ardhi.

Hata wanifunge na kamba pamoja na polisi nyuma na mbwa wao ...abadan sipandi humo
 
huu ni wizi mweupe wa Kigwa na ukisoma ripoti ya CAG utaona haya mauchafu
 
mimi bado nafikiri kutoka ubungo hadi iringa kuna hili line mbili za high voltage power line na katikati kuna space kubwa tu kwa nini wasibuni cable car hapo ikawa sehemu ya serikali kuingiza kipato?
70261b7c8f09163df32d377c2ee4239a.jpg
 
Kamishina msaidizi wa Uhifadhi wa TANAPA, ACC Paul Banga amesema General Management Plan(GMP) ambayo inahusisha Wadau wote wa Utalii, walipitisha mpango wa kuanzisha cable car katika Mlima Kilimanjaro ikiwa ni Mkakati wa kuongeza idadi ya Watalii nchini. Aliyasema hayo wakati wa Kikao cha Tanapa na Wahariri na Waandishi wa habari waandamizi Jiji Dodoma.

Banga amesema Cable car hiyo itaanzia karibu na Geti la Machame la kupandia Mlima Kilimanjaro na kuishia Uwanda wa Shira. Cable car itakuwa na Urefu wa mita 3,700 kati ya mita 5,895 za Mlima Kilimanjaro. Car cable haitafika kwenye Kilele cha Mlima Kilimanjaro

Amesema Kwa sasa Serikali bado inafanya Tathimini kuona kama Mradi Wauruhusu au Wasiuruhusu.

Kutoka na hofu ya watu wengi kupoteza ajira hasa wasaidizi wa wapanda Mlima, alifafanua kwamba kazi za kupanda mlima kwa mguu zitaendelea kama kawaida kilichoongezeka ni kumuwezesha Mtalii kiwa na Chaguo la Atumie Miguu au car cable.

Banga alisema anatumbua uwepo wa Walemavu na Wazee ambao wanatamani kupanda Mlima Kilimanjaro hivyo cable car itasaidia kutimiza ndoto zao.

Cable car ni gari linalotumia waya kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine bila kugusa ardhi.

Cable vehicles zingewekwa mlima kama uluguru, mlima Meru, Usagara, labda na Rungwe Ila Kilimanjaro wangeacha heshima yake ibaki vile.
 
Back
Top Bottom