TANAPA: Simba Joel alikimbia, tunamtafuta

......taarifa zinadai kuwa Bob junior na Joel ni ndugu wa karibu na kwa mujibu wa tanapa ni kwamba ugomvi ulianza Kwa Bob junior kuvamiwa......Joel alipoona mapambano makali aliamua kusepa ndo Bob kutokana na uzee alizidiwa na kufariki......inashauriwa watanzania kuwa watulivu ktk kipindi hiki kigumu.....Joel anaendelea kutafuta na bob junior atakumbukwa daima.......
 
Kwa sababu Tanzania Ina nusu ya idadi ya Simba wote waliopo DUNIANI Kwa Taarifa zilizopo Hadi muda huu mm naandika
Kwa iyo huyu simba anapewa airtime kwa sababu Tanzania ina nusu ya simba wote waliopo duniani??!!! Mbona hili jibu haliendan na swali
 
Kifo hakina baunsa
 
Mazishi bado hayajapangwa nataka kuhuzulia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi
Kutokana na uonekano wake wakipekee na manyoya yake kama amesukwa Rasta alipendwa, kujulikana na kufuatwa na watalii wengi .
Baba yake alikuwa anaitwa Bob Marley na baba yake mdogo akiitwa Ziggy Marley
 
Joel amepita speed sana hapa chato itakuwa anaenda burigi moja hiyo..!
 
Kwan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi
Imagine toka asubuhi hapa umeme haupo ulirudi saa kumi na moja ukakatwa saa moja kasoro,Karne ya 21,this is a joke of a century
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…