Paper zake zinakuwaje Mkuu? ni zaidi ya Utumishi?Ila mzee jipange,taasisi hizi kila mtu anazitolea macho na paper zake zinakuwaga zimesimama sana
Paper zake zinakuwaje Mkuu? ni zaidi ya Utumishi?Ila mzee jipange,taasisi hizi kila mtu anazitolea macho na paper zake zinakuwaga zimesimama sana
Hata UTUMISHI pia kuna madudu yameingia asee nime experience hili mala mbili Oral zote nilizopiga yaani mtu ambaye anapewa priority ili awahi kusafiri mkoani na ndo huyo anapata kazi na ndo huyo alikuwa wa kwanza kuingia ni mapicha picha tu jamaa sikuhizi.Me mbona nlienda ya ngorongoro japo niliishia prac ila kwa stage nlofikia nliona wapo fair sababu ni utumishi walisimamia.Ila labda kama walichekecha kwenye kuita kazini
Wameshaitwa wanareport jumatatu keshoHawajaita watu kazini mpaka leo
Sio kweli Ngorongoro mchakato wa ajira haupitii utumishiMe mbona nlienda ya ngorongoro japo niliishia prac ila kwa stage nlofikia nliona wapo fair sababu ni utumishi walisimamia.Ila labda kama walichekecha kwenye kuita kazini
Hao wanamjuaje Kama huyo mtu anasafiri kwenda mkoani?Hata UTUMISHI pia kuna madudu yameingia asee nime experience hili mala mbili Oral zote nilizopiga yaani mtu ambaye anapewa priority ili awahi kusafiri mkoani na ndo huyo anapata kazi na ndo huyo alikuwa wa kwanza kuingia ni mapicha picha tu jamaa sikuhizi.
Ndiyo hivo Boss nowadays madudu kama yote hivi.Hao wanamjuaje Kama huyo mtu anasafiri kwenda mkoani?
Dah unabishana na mimi ambae nilikuwepo kwenye hiyo interview,hata majina ya mchujo yalitoka kwenye website ya utumishiSio kweli Ngorongoro mchakato wa ajira haupitii utumishi
Mkuu NCA hawapitishi michakato yake psrs hata siku moja, Psrs wao hata tangazo la serikali Kama halipitii kwao huwa wanalipublishi ili liwafikie watu wengi zaidi.Dah unabishana na mimi ambae nilikuwepo kwenye hiyo interview,hata majina ya mchujo yalitoka kwenye website ya utumishi
Mkuu NCA hawapitishi michakato yake psrs hata siku moja, Psrs wao hata tangazo la serikali Kama halipitii kwao huwa wanalipublishi ili liwafikie watu wengi zaidi.
Na barua zote za maombi ya kazi za Ngorongoro hazipitii ajira portal,
Utakuwa ulifanya usaili, ila hukujua mengine.. hizo taasisi haziingiliani kabisa na psrs,..wangekuwa wanasimamia psrs maombi yote yangepitia kwao, otherwise ubishe tu kwa sababu unabisha.Utumishi ndo walosimamia ile interview.
Mjomba huu ubishi hauna afya sana kwako, Jamaa yupo sahihi Tangazo la kazi na Maombi ya Kazi husika vilipitia Sekretarieti ya Ajira(PSRS) na halikadhalika wao ndo walihusika kwenye kusimamia Usaili huo!Utakuwa ulifanya usaili, ila hukujua mengine.. hizo taasisi haziingiliani kabisa na psrs,..wangekuwa wanasimamia psrs maombi yote yangepitia kwao, otherwise ubishe tu kwa sababu unabisha.
Lakin hamna kitu Kama hicho
Mzee uliziomba au unahadithiwa, ulituma kupitia ajira portal barua ya kazi?Mjomba huu ubishi hauna afya sana kwako, Jamaa yupo sahihi Tangazo la kazi na Maombi ya Kazi husika vilipitia Sekretarieti ya Ajira(PSRS) na halikadhalika wao ndo walihusika kwenye kusimamia Usaili huo!
Mkuu hayo mambo ya kusaka ajira nilimalizana nayo toka Mwaka 2000 hv sasa nahangaika na Kikokotoo tu..,Mzee uliziomba au unahadithiwa, ulituma kupitia ajira portal barua ya kazi?
Psrs walipublish tu taarifa iwafikie watu wengi zaidi, mchakato wa ajira waliuendesha wao NCA.nakupa screenshot ya address ya kutuma maombi kwenye Hilo tangazo la la kazi hapa chiniMkuu hayo mambo ya kusaka ajira nilimalizana nayo toka Mwaka 2000 hv sasa nahangaika na Kikokotoo tu..,
Ila kwenye hilo sidhanii naongea nikiwa na tajiriba, lilitoka Tangazo la kwanza la kutuma moja kwa moja kwao ndani ya saa 24, likaondelewa na kuwekwa lingine la kuelekeza maombi yapitie PSRS, labda kama una observation nyingine.
Ok.., noted!Psrs walipublish tu taarifa iwafikie watu wengi zaidi, mchakato wa ajira waliuendesha wao NCA.nakupa screenshot ya address ya kutuma maombi kwenye Hilo tangazo la la kazi hapa chini
Bora labda wataita tena wengine, maana toka tufanye interview mwaka Jana mwezi wa 9 hadi leo kimya.Achane hizo negativity tanapa wameshaacha hizo tabia za kujuana wale walioitwa kazini mwaka Jana October Jana wamemaliza mafunzo pale mlele . ule mfumo wa kujuan ulishasambaratishwa kbsa. So nenda kapambane uwezo wako ndo utakutoa na sio mtu
Aisee n kwel maana wengne tulifanya usahil mwaka jana mwez june,cjui kama hao waliomaliza mafunzo mlele n kada zote ziliitwa au baadh bado maana kila tuliekuwa nae ktk oral hana taarifa ya kuitwa kazin,still giza n neneBora labda wataita tena wengine, maana toka tufanye interview mwaka Jana mwezi wa 9 hadi leo kimya.