Niwasiliane vipi na utumishi? Nimeonewa kwenye swala la ajira

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
466
538
Nimekosa nafasi ya usaili nikiambiwa sikuhakiki vyeti kwa mwanasheria ilihali nilifanya hivyo na vyote kwenye mfumo vimehakikiwa

MIMI NIMEKOSA KUITWA USAILI HIZI AJIRA 800 ZA MAENDELEO YA JAMII ETI WANANAMBIA VYETI HAVIKUHAKIKIWA NA KUPIGWA MUHURI MWANASHERIA AU MAHAKAMANI CHA AJABU VYOTE VYOTE NIMEVYOWEKA VINA MUHURI WA MWANASHERIA NA HUYO HUYO MWANASHERIA ALITUPIGIA MUHURI WATU TULIKUA KAMA 20 HIVI KILA MTU NA VYETI VYAKE CHA AJABU WOTE WAMEPATA MIMI TU NDO NIMEKOSA

NA HII NDO SABABU YA MIMI KUTOITWA KWENYE USAILI LAKINI SIO KOSA LANGU WAKUU

Nishaurini nifanyeje maana imekua ajabu sana kwangu kila kitu niliambatanisha inavyotakiwa lakini imekua hivyo usaili utaanza tarehe 8

Naombeni msaada wa haraka ni kama nimechanganyikiwa hivi

.
.
.
.
.
.
LEO JULY 6 WAMEFANIKIWA KUNIPA HAKI YANGU FINALLY....NAMI NIMO DAAAAH ASANTE MUNGU.....ASANTENI SANA WANAJAMIIFORUM.........Nashukuruni sana kwa mawazo yenu bila nyie nisingeweza kujua napaswa kufanya nini....Hatimaye namimi jina limetoka nimepata namba ya usaili
 
Wapigiee siku ya jumatatu bila kuacha wanapokeaga simu na uwaambiee malalamiko Yako watakuitaa kwenye majina ya nyongezaa,Wala Haina shida usiogopee jiandae tuu na interview,,,,note Wana namba nyingi kama Nne hivii ko jaribu kila namba hadii wapokeee
Asante sana mkuu
 
Simu haipokekewi hiyo, we kama upo dar au Dom, nenda ofisini kwao ukiwa na hivo vyeti vyote ulivohakiki, hapo ndio utapata msaada wa haraka.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nlikua nahaha namna hii ila nlipofanya saili nyingi nkaona huko SI mahala pangu ntakufa na presha.
Jikaze huenda ni bahat yako .
 
Back
Top Bottom