TANAPA hatimaye wameniita kwenye usaili

Me mbona nlienda ya ngorongoro japo niliishia prac ila kwa stage nlofikia nliona wapo fair sababu ni utumishi walisimamia.Ila labda kama walichekecha kwenye kuita kazini
Hata UTUMISHI pia kuna madudu yameingia asee nime experience hili mala mbili Oral zote nilizopiga yaani mtu ambaye anapewa priority ili awahi kusafiri mkoani na ndo huyo anapata kazi na ndo huyo alikuwa wa kwanza kuingia ni mapicha picha tu jamaa sikuhizi.
 
Sio kweli Ngorongoro mchakato wa ajira haupitii utumishi
 
Hata UTUMISHI pia kuna madudu yameingia asee nime experience hili mala mbili Oral zote nilizopiga yaani mtu ambaye anapewa priority ili awahi kusafiri mkoani na ndo huyo anapata kazi na ndo huyo alikuwa wa kwanza kuingia ni mapicha picha tu jamaa sikuhizi.
Hao wanamjuaje Kama huyo mtu anasafiri kwenda mkoani?
 
Dah unabishana na mimi ambae nilikuwepo kwenye hiyo interview,hata majina ya mchujo yalitoka kwenye website ya utumishi
Mkuu NCA hawapitishi michakato yake psrs hata siku moja, Psrs wao hata tangazo la serikali Kama halipitii kwao huwa wanalipublishi ili liwafikie watu wengi zaidi.

Na barua zote za maombi ya kazi za Ngorongoro hazipitii ajira portal,
 
Utumishi ndo walosimamia ile interview.

Utakuwa ulifanya usaili, ila hukujua mengine.. hizo taasisi haziingiliani kabisa na psrs,..wangekuwa wanasimamia psrs maombi yote yangepitia kwao, otherwise ubishe tu kwa sababu unabisha.

Lakin hamna kitu Kama hicho
 
Mjomba huu ubishi hauna afya sana kwako, Jamaa yupo sahihi Tangazo la kazi na Maombi ya Kazi husika vilipitia Sekretarieti ya Ajira(PSRS) na halikadhalika wao ndo walihusika kwenye kusimamia Usaili huo!
 
Mzee uliziomba au unahadithiwa, ulituma kupitia ajira portal barua ya kazi?
 
Mkuu hayo mambo ya kusaka ajira nilimalizana nayo toka Mwaka 2000 hv sasa nahangaika na Kikokotoo tu..,
Ila kwenye hilo sidhanii naongea nikiwa na tajiriba, lilitoka Tangazo la kwanza la kutuma moja kwa moja kwao ndani ya saa 24, likaondelewa na kuwekwa lingine la kuelekeza maombi yapitie PSRS, labda kama una observation nyingine.
 
Psrs walipublish tu taarifa iwafikie watu wengi zaidi, mchakato wa ajira waliuendesha wao NCA.nakupa screenshot ya address ya kutuma maombi kwenye Hilo tangazo la la kazi hapa chini
 
Attachments

  • Screenshot_20190512-145511.png
    Screenshot_20190512-145511.png
    59 KB · Views: 45
Achane hizo negativity tanapa wameshaacha hizo tabia za kujuana wale walioitwa kazini mwaka Jana October Jana wamemaliza mafunzo pale mlele . ule mfumo wa kujuan ulishasambaratishwa kbsa. So nenda kapambane uwezo wako ndo utakutoa na sio mtu
 
Bora labda wataita tena wengine, maana toka tufanye interview mwaka Jana mwezi wa 9 hadi leo kimya.
 
Ambaye ameshawah kufanya usahil upande wa IT diploma atupe mwanga maswal yao mara nying yanakuwaje
 
Bora labda wataita tena wengine, maana toka tufanye interview mwaka Jana mwezi wa 9 hadi leo kimya.
Aisee n kwel maana wengne tulifanya usahil mwaka jana mwez june,cjui kama hao waliomaliza mafunzo mlele n kada zote ziliitwa au baadh bado maana kila tuliekuwa nae ktk oral hana taarifa ya kuitwa kazin,still giza n nene
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom